Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

JAFO:TANZANIA KUFANYA SENSA YA UZALISHAJI  VIWANDANI MACHI 2025.

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 4,2025 jijini Dodoma  kuhusu Sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo,amesema Tanzania inatarajia kufanya sensa ya uzalishaji wa viwandani kuanzia machi mwaka huu.

Dkt.Jafo ameyasema hayo leo  Februari 4,2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sensa hiyo ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023.

Amesema lengo la sensa hiyo ni kupata taarifa za kina za kitakwimu zitakazo iwezesha serikali na wadau kufanya maamuzi yenye ushahidi wa kitakwimu katika kuhuisha na kuboresha sera, mipango na program za maendeleo ya sekta ya viwanda na uchumi wa kitaifa kwa ujumla.

“Matokeo hayo yatatumika kupima utekelezaji wa Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano (FYDP III), program za kikanda kama vile Dira ya Afrika Mashariki 2050, Agenda ya Maendeleo ya Afrika 2063.

“Na Malengo endelevu ya Dunia 2030 (SDGs) hususani lengo namba sita kuhusu upatikanaji wa maji safi na salama, lengo namba saba kuhusu upatikanaji wa nishati safi na ya gharama nafuu na lengo namba tisa kuhusu maendeleo ya viwanda, ubunifu na miundombinu,”amesema Dkt. Jafo

Hata hivyo amesema kuwa  Sensa hiyo itakusanya taarifa kutoka viwanda vyenye wafanyakazi kuanzia 10 au zaidi na kundi la viwanda vyenye wafanyakazi kuanzia mmoja hadi tisa.

Amesema kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi kwa viwanda vidogo zitafanyika kwa sampuli kutokana na wingi wa viwanda na sifa zinazofanana.

“Ukusanyaji wa taarifa za uzalishaji wa bidhaa viwandani utafanyika kwa kutumia mfumo wa kielektroniki ambapo wadadisi watakusanya taarifa kwa kutumia madodoso yaliyowekwa kwenye kishikwambi kama ilivyofanyika wakati wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022’”amefafanua

Aidha ametoa  wito kwa wadau wote katika sekta ya viwanda nchini kushirikiana na serikali kufanikisha utekelezaji wa sensa hiyo ya uzalishaji viwandani.

Kwa upande wake Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa, amesema  sensa hiyo inatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi mitatu kuanzia mwezi Machi hadi Juni mwaka huu ambapo majibu yatatolewa.

 “Sensa hiyo ambayo imepangwa kufanyika kuanzia mwezi Machi mwaka huu, itahusisha pande zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.”amesema Dk. Chuwa

Tanzania Bara, ilifanya sensa za uzalishaji viwandani mwaka 1963, 1978, 1989 na 2013 na kwa upande wa Zanzibar zilifanyika mwaka 1989, 2002, 2008 na 2012.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 4,2025 jijini Dodoma  kuhusu Sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 4,2025 jijini Dodoma  kuhusu sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo,akisisitiza jambo wakati akielezea  sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023 leo Februari 4,2025 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri  wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati akizungumza kuhusu Sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023 leo Februari 4,2025 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri  wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati akizungumza kuhusu Sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023 leo Februari 4,2025 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri  wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) wakati akizungumza kuhusu Sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023 leo Februari 4,2025 jijini Dodoma.

Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa,akijibu maswali mbalimbali yaliyoulizwa na Waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa Waziri  wa Viwanda na Biashara,Mhe.Dkt. Selemani Jafo,akitangaza kuanza kwa Sensa  ya uzalishaji viwandani kwa mwaka wa rejea 2023 leo Februari 4,2025 jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna