Featured Kitaifa

DKT.NCHIMBI ATETA NA JAJI MKUU MSTAAFU WA TANZANIA MHE.OTHMAN WALIPOKUTANA UWANJA WA NDEGE DODOMA

Written by mzalendoeditor

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Dodoma,  mara baada ya Balozi Nchimbi kurejea nchini, akitokea ziara ya kikazi nchini Ethiopia.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt. Augustine (SAUT), Balozi Prof. Costa Ricky Mahalu, walipokutana tarehe 2 Februari 2025, Uwanja wa Ndege wa Dodoma.

About the author

mzalendoeditor