marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

grandpashabet

palacebet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

celtabet, celtabet giriş

jasminbet, jasminbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

holiganbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

trendbet

padişahbet

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

türk ifşa

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

imajbet

lunabet

holiganbet

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

bahiscasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet giriş

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casinomilyon

betist

deneme bonusu veren siteler

king-royal

Featured Kitaifa

SERA MPYA YA ELIMU IMELENGA KUWA NA WAHITIMU WENYE MAARIFA- MSIGWA

Written by mzalendo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023 itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete hapa Jjini Dodoma Januari 31,2025.

Akielezea tukio hilo leo Januari 29,2025 Msemaji mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa wakati akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa sera hiyo imelenga kuwa na wahitimu wenye maarifa, mwelekeo chanya na ujuzi unaoendana na mahitaji ya kitaifa na kimataifa utakao wezesha ushindani katika soko la ajira duniani.

“Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan mwezi Aprili,2021 alitangaza na kutoa maelekezo akitaka Wizara yenye dhamana ya Elimu ifanye kazi ya kupitia upya sera ya Elimu na lengo lilikuwa ni kuwa na sera itakayo waandaa wanafunzi wetu kuwa mahiri katika kukabiliana na changamoto za sasa na kujibu mahitaji ya dunia ya sasa, Mhe.Rais hakupendezwa kuona watoto wake wanakuwa na degree lakini hawana ujuzi katika uzalishaji na matokeo yake wanapatashida kwenye maisha yao,”amesema.

Aidha, ameongeza kuwa mapitio ya sera hiyo yanaakisi mahitaji ya kidunia na kutoa msukumo wa kuleta mageuzi katika sekta ya Elimu kwalengo la kuzalisha Raslimali watu wenyeujuzi katika ngazi mbalimbali kwa kujiajiri na kuajiri wengine.

Pia ametoa rai kwa watanzania kuhudhulia hafla hiyo pamoja na waliyoko katika mingine kushiriki kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

Naye Katibu mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Carolyne Nombo ameeleza kuwa sera hutoa mwongozo wa uendeshaji na utolewaji wa Elimu Tanzania pamoja na mambo mbalimbali yanayowezesha utekelezaji wa sera hiyo ikiwemo mkakati wa sera husika huku akieleza kuwa mkakati huo umekwisha andaliwa.

Pamoja na hayo ameongeza kuwa sera itakayozinduliwa ilielekeza katika uboreshaji wa mitaala ya Elimu ambayo imeboreshwa kwa ngazi zote kunzia ngazi ya awali hadi hadi vyuo vikuu.

“Mitaala iliyoboreshwa inahusisha mitaala ya Elimu ya awali,mitaala ya Elimu ya msingi darasa la kwanza mpaka la sita,mitaala ya elimu ya sekondari ngazi ya chini na ngazi ya juu pamoja na mitaala ya mafunzo ya walimu.
Nifuraha kuwataarifu kwamba mitaala hiyo imekwisha anza kutumika mwaka jana na tayarui tumeanza kuona matokeo mazuri ya mitaala iliyoboreshwa,”amesema.

Amesema kutokana na dunia ya sasa kwendana na mabadiliko ya sayansi na Teknolojia ambayo yanakua kwa kasi sana hivyo sekta ya Elimu imelazimika kwendana na mabadiliko hayo kwa kuandaa mkakati wa Tehama katika sekta ya Elimu pamoja na miongozo ya matumizi ya Tehama na akili unde.

About the author

mzalendo