slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

onlyfans leaks

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

onlyfans leak

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

betist

Featured Kitaifa

TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI YAKUTANA NA WADAU WA KODI MKOA WA SHINYANGA KUKUSANYA MAONI

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga. 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi  imefanya mkutano na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kukusanya maoni kuhusu uzoefu, changamoto na mapendekezo ya namna ya kuboresha mifumo ya kodi nchini.

Mkutano huo umefanyika leo, Ijumaa, Januari 17, 2025, katika ukumbi wa Lyakale Mjini Shinyanga, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi.

Akifungua mkutano huo, Wakili Mtatiro amesisitiza umuhimu wa ushiriki wa wadau katika michakato ya kuboresha mifumo ya kodi, akisema kuwa michango na maoni yao ni muhimu na yatatumika kama sehemu ya mikakati ya kuleta mageuzi ya kimsingi katika sekta ya kodi.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga. 

“Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Mwanamapinduzi wa kweli, anayehamasisha na kusikiliza maoni ya wananchi. Anachukua hatua za haraka ili kuhakikisha kuwa maoni ya wananchi yanatekelezwa kwa manufaa ya wengi. Tume hii ya Rais haiachi jambo lolote nyuma, inazingatia taaluma na weledi wa hali ya juu katika kufanya tathmini ya mifumo ya kodi. Hivyo, michango yenu inachukuliwa kama maoni muhimu kwa kuboresha mifumo ya kodi na itafanyiwa kazi,” amesema Wakili Mtatiro.

Wakili Mtatiro amesema changamoto za kodi ni changamoto za kitaifa na kuahidi kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kujitahidi kuboresha mifumo ili kuhakikisha kuwa masuala ya kodi yanakuwa endelevu na yanahusisha pande zote kwa faida ya nchi nzima.

Kwa upande wake, Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, CPA Leonard Mususa, ameeleza kuwa tume hiyo inaendelea kufanya tathmini ya kina kuhusu mifumo ya kodi, mapato na tozo mbalimbali zinazohusiana sekta ya kodi.Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, CPA Leonard Mususa

Amesema kazi hii inaimarisha juhudi za Serikali katika kuhakikisha kuwa mfumo wa kodi unakuwa rafiki kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla, na kwamba tume inashirikiana na wadau mbalimbali ili kuhakikisha kuwa kodi zinakusanywa kwa njia bora na yenye haki, huku ikifanya mabadiliko ili kuondoa kero na malalamiko ambayo yamekuwa yakichochea malumbano.

“Tume ya Rais inatekeleza majukumu yake kwa umakini mkubwa ili kuondoa kero za kodi na kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Tume hii imelenga kuvutia mitaji ya ndani na nje ya nchi na kwa upande mwingine, tunafanya tathmini ya kina ili kuona ni hatua zipi zinapaswa kuchukuliwa ili kuboresha mifumo ya kodi nchini,” ameeleza CPA Mususa.

Mkutano huo umetoa fursa kwa wadau muhimu wa masuala ya kodi wa Mkoa wa Shinyanga kutoa maoni yao kuhusu changamoto wanazokutana nazo katika masuala ya kodi.

Wadau hao pia wamependekeza njia mbalimbali za kutatua changamoto hizo, ikiwa ni pamoja na kupunguza urasimu katika ukusanyaji wa kodi, kuboresha mawasiliano kati ya serikali na wafanyabiashara na kuongeza ufanisi katika utendaji wa mifumo ya kodi.

Mkutano huu ni sehemu ya juhudi za Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi kukusanya maoni ya wadau kutoka maeneo mbalimbali ya nchi ili kuwezesha mabadiliko ya mifumo ya kodi kwa namna itakayowafaidisha wananchi na nchi kwa ujumla.

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza leo Ijumaa Januari 17,2025 kwenye mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kukusanya maoni kuhusu uzoefu, changamoto na mapendekezo ya namna ya kuboresha mifumo ya kodi nchini. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza kwenye mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga 
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza kwenye mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga. 

Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, CPA Leonard Mususa akizungumza kwenye mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga 

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga David Lyamoga kizungumza kwenye mkutano wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga 
Wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano wa kukusanya maoni kuhusu uzoefu, changamoto na mapendekezo ya namna ya kuboresha mifumo ya kodi nchini.

Wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga wakiwa kwenye mkutano ulioandaliwa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi ili kukusanya maoni kuhusu uzoefu, changamoto na mapendekezo ya namna ya kuboresha mifumo ya kodi nchini.
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna