Featured Kitaifa

RAIS AMIA AKUTANA NA AFISA MTENDAJI MKUU WA NMB

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.

About the author

mzalendo