slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Featured Kitaifa

KIRUSWA AWATAKA MALAIGWANANI KUKEMEA TABIA YA JAMII HIYO KATIKA CHAGUZI

Written by Alex Sonna

NAIBU Waziri wa Madini na Mbunge wa Longido Mkoani Arusha,Dkt Steven Kiruswa amewataka viongozi wa Milla wa Jamii ya Kimasai maarufu kwa jina la Malaigwanani kukemea tabia ya jamii hiyo kutaka kuchagua viongozi wa kichama na kiserikali kwa kufuata makundi ya Uko na rika na kusema kuwa hiyo itawanyima watu demokrasia ya kuchagua viongozi bora na kutoa mwanya kuchaguliwa viongozi wasiokuwa bora na sifa na hivyo kusababisha makundi na migogoro ndani ya jamii.

Kiruswa alisema hayo wakati akizindua Baraza Kuu la Malaigwani la Wilaya ya Longido lililohudhuriwa na Malaigwanani zaidi ya 60. Viongozi wengine waliohudhuria ni pamoja na Mkuu wa wilaya ya Longido,Salum Kalli, Mwenyekiti wa Wilaya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Papa Nakuta, viongozi wastaafu wa chama na serikali wilaya na Mkoa akiwemo Lekule Laizer, Joseph Sadira na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Longido,Simon Oitesoi.

Alisema Malaigwanani ni kiungo muhimu kati ya serikali na jamii ya kifugaji katika suala la kuhamasisha maendeleo na wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea hilo kwani tabia hiyo ikijengeka itazaa viongozi wasiokuwa na sifa na kutapelekea kupata viongozi wasiostahili na kuwa chimbuko kwa jamii kukumbwa na migogoro ya mara kwa mara yanayotokana na makundi ya rika,uko na ukanda, kitu ambacho ni hatari kwa ujenzi wa jamii bora yenye mshikamano na umoja.

Alisema hilo lilijitokeza katika uchaguzi uliopita wa mwaka 2024 wa serikali za  mitaa, vijiji na vitongoji wilayani Longido katika baadhi ya maeneo na kuwataka viongozi wa Milla kukemea hilo kwa nguvu zote lisijirudie katika chaguzi zijazo kwani linawagawa wananchi na kuathiri demokrasia kwa kuwa baadhi ya waliochaguliwa walipatikana kupitia mihemuko ya kirika na koo.

Naibu Waziri Kiruswa alisisitiza Malaigwanani kuhakikisha wanahimiza na kuhamashisha wananchi kushiriki kazi za maendeleo ikiwa ni pamoja na kupeleka watoto shule, kusimamia

Nyanda za malisho na kutoa elimu ya mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwa wao ni nguzo ya jamii ya kimasai na wanaheshimika katika jamii hivyo watumie nafasi hiyo kuiongoza vyema jamii na sio vinginevyo.

Alisema huu Mwaka ni mwaka wa uchaguzi Mkuu hivyo viongozi wa Milla wanawajibu wa kutoa elimu kwa jamii kuchagua viongozi bora na waadilifu wanaoweza kuongoza jamii kwa kuhamashisha na kufanya kazi za maendeleo kwani Malaigwanani ni kiungamishi cha serikali na jamii na wana wajibu huo.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Longido,Salum Kalli alisema yeye ana miezi minne tu toka amehamia Longido na amepata ushirikiano mkubwa toka biongozi wa Milla hivyo kurahisisha kazi yake ya kusimamia ulinzi wa usalama wa raia na mali zao ndani ya wilaya.

Kalli alisema Malaigwanani wanawajibu wa kusimamia amani na mshikamano kwa kushirikiana na serikali  na amewashukuru viongozi hao kuwajibika kwa hilo.

Mwenyekiti wa Baraza la Malaigwani Wilaya ya Longido, Laigwanani Simon Melau Ole Mepurda  alisema kikao hicho ni muhimu kwa jamii hiyo kwani kimeshirikisha wajumbe kutoka katika kata zote 19 za jimbo la Longido na akasistiza kuwa baada ya Baraza kuzinduliwa wana wajibu wa kuelimisha jamii inayowazunguka kuheshimu sheria za nchi na milla ya jamii hiyo.

Naye Mwenyekiti wa Chama Cha wafugaji Wilayani Longido,Joseph Sadira aliwataka viongozi wa milla kuhimiza ufugaji bora na kuuza mifugo yao katika kiwanda cha nyama kilichopo Longido kwani ndio kiwanda kinachoingiza mapato katika Halmashauri ya Longido hivyo kinapaswa kuungwa mkoano na sio vinginevyo.

About the author

Alex Sonna