Featured Kitaifa

DKT.JAFO AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI KISARAWE

Written by mzalendoeditor
 Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo akiendesha bodaboda akiwa na msafara wa vijana wa hamasa wakielekea  katika Kata za Msanga,Boga ,Maneromango na Marumbo kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne.
Na.Alex Sonna-KISARAWE
Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo ameelezea mafanikio mbalimbali yaliyopatikana katika jimbo hilo kwenye  sekta ya elimu, afya, umeme, miundombinu, na maji.
Akizungumza kwenye mikutano ya Kata za Msanga na Boga ya  kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne,  Dkt. Jafo amesema mafanikio hayo ni pamoja na vijiji vyote 83 vimefikiwa na huduma ya umeme.
Pia, amesema mafanikio mengine ni ujenzi wa shule nane za sekondari mpya  na kuweka miundombinu mipya katika sekondari zote za zamani, kujengwa vituo vipya vya afya saba,  maboresho makubwa ya Hospitali ya Wilaya ya  Kisarawe pamoja na ujenzi wa zahanati kwenye vijiji mbalimbali.
“Namshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi mzuri na mahiri ambao umetuletea maendeleo haya wana Kisarawe, tunayashuhudi ni mambo makubwa yamefanyika kwenye jimbo hili na yanawagusa wananchi na kuwaondolea kero walizokuwa nazo za kukosa miundombinu hii muhimu ya huduma za kijamii,”amesema.

Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo,akizungumza na wananchi wa  Kata za Msanga na Boga wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne.

Wananchi  wa Kata za Msanga na Boga wakimsikiliza Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo (hayupo pichani)  wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne.

Msafara wa bodaboda wakiwa kwenye zaiara ya Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo (hayupo pichani) akielekea katika Kata za Maneromango na Marumbo kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne.

 Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo akiendesha bodaboda akiwa na msafara wa vijana wa hamasa wakielekea  katika Kata za Maneromango na Marumbo kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne.

 Mbunge wa Kisarawe ambaye ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani  Jafo,akiwa na msafara wa vijana wa hamasa wa CCM  wakielekea  katika Kata za Maneromango na Marumbo kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM katika jimbo hilo kwa miaka minne.

About the author

mzalendoeditor