Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

casinowon

esbet

tambet

betsalvador

casibom

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

MHANDISI JUMBE APELEKA SHANGWE ZA SIKUKUU YA MWAKA MPYA 2025 KWA MAKUNDI MAALUM SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Mhandisi James Jumbe (katikati) akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre.

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Katika kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025, Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe, ameongeza furaha kwa makundi maalum katika Manispaa ya Shinyanga kwa kuwapatia zawadi za vyakula. 

Zawadi hizo zimetolewa kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre, Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, pamoja na mabinti waliopitia changamoto za ukatili wa kijinsia wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.

Vyakula vilivyotolewa ni pamoja na mbuzi wawili kwa kila kituo, mchele, unga wa ngano, mafuta ya kula, maharage,sukari, sabuni za kufulia, na vinywaji, ikiwa ni pamoja na maji na juisi kama sehemu ya kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025. 

Mhandisi Jumbe amekabidhi zawadi hizo leo, Desemba 31, 2024 kwa furaha na kusema kwamba ni muhimu kuyakumbuka makundi haya maalum muda wote lakini hasa wakati wa sherehe kama za Sikukuu ya Mwaka Mpya.

“Katika kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya, nimeona nisiyaache nyuma makundi maalum. Nimekuja na zawadi mbalimbali ikiwemo mbuzi, mchele, sukari, mafuta ya kula, maharage, sabuni na vinywaji. 

Nimefika katika vituo hivi ili kusherehekea na makundi haya maalum, kwani ni muhimu kuwafariji na kuwapatia mahitaji yanayotakiwa. Hii siyo mara ya kwanza, mwaka uliopita nilileta mahitaji kupitia wawakilishi wangu. Na safari hii siyo ya mwisho, nitaendelea kutoa misaada na kuwatia moyo. Naomba wadau wengine wajitokeze kusaidiana na Serikali yetu inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amekuwa bega kwa bega na makundi haya,” amesema Mhandisi Jumbe.

“Lazima tuwatunze wazee wetu na pia tusikie kilio cha watoto ambao wamepitia changamoto mbalimbali katika maisha. Ni muhimu kuwapa furaha na kuhakikisha wanapata mahitaji yao muhimu, ili tuwe na taifa lenye upendo, umoja, na mshikamano”,ameongeza Mhandisi Jumbe.

Mhandisi Jumbe amewahimiza wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla kujitolea kusaidia makundi haya maalum, akisema kwamba kila mmoja anawajibika katika kusaidia jamii hasa wale wanaokumbwa na changamoto kubwa katika maisha.

Sehemu ya mbuzi waliotolewa na Mhandisi James Jumbe.

Wakizungumza baada ya kupokea zawadi hizo, watoto na wazee akiwemo Ansita Francis, Catarina Maige na Kija Nipuge wametoa shukrani zao kwa Mhandisi Jumbe kwa msaada huo mkubwa, ambao unawapa furaha ya kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya.

“Asante baba Jumbe kwa zawadi hizi. Mungu akubariki kijana wetu. Hatukutegemea kama tutapata chakula cha Sikukuu, lakini leo tumeweza kusherehekea kwa furaha, tumepata mchuzi na nyama, na tunashukuru sana”, amesema Mzee Kija Nipuge, ambaye ni mzee wa Makazi ya Wazee ya Kolandoto.

Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (kulia) akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto.

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la Agape AIDS Control Programme (AACP), linalosimamia Kituo cha kulelea mabinti waliopitia ukatili wa kijinsia katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School, Yohana Hezron, pamoja na Mkurugenzi wa Shinyanga Society Orphanage Centre, Bi. Ayam Ally Said, wamemshukuru Mhandisi Jumbe kwa msaada wake endelevu kwa makundi maalum.

 

“Tunashukuru sana kwa msaada huu. Zawadi hizi zitasaidia sana makazi yetu. Tunaomba wadau wengine waendelee kutembelea vituo vyetu na kutoa msaada ambao utatatua changamoto zinazowakabili watu hawa”,amesema Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, Sophia Kang’ombe.

 

Vilevile, Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja, Bi. Anascholastica Ndagiwe, amesema kwamba Mhandisi Jumbe ni mfano bora wa kusaidia makundi maalum na ametoa wito kwa wadau wengine kujitokeza kusaidia, mfano kwa Kituo cha Agape, ambacho kinahitaji nishati mbadala ili kuondokana na matumizi ya kuni wakati wa kupikia. 

Amesema kuwa, msaada wa nishati mbadala utasaidia kupunguza muda wanaopoteza kutafuta kuni na kuwawezesha mabinti hao kupata muda zaidi wa masomo.

ANGALIA PICHA HAPA CHINI

Sehemu ya mbuzi waliotolewa na Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre, Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, pamoja na mabinti waliopitia changamoto za ukatili wa kijinsia wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School ili kusherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akisamiliana na Mkurugenzi wa Shinyanga Society Orphanage Centre, Bi. Ayam Ally Said alipotembelea kituo hicho cha kulelea watoto yatima kwa ajili ya kutoa zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre kilichopo Bushushu kata Lubaga Manispaa ya Shinyanga
 
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (katikati) akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre kilichopo Bushushu kata Lubaga Manispaa ya Shinyanga
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre kilichopo Bushushu kata Lubaga Manispaa ya Shinyanga
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre kilichopo Bushushu kata Lubaga Manispaa ya Shinyanga
Sehemu ya zawadi zilizotolewa kwa Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kwa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Shinyanga Society Orphanage Centre
Mmoja wa watoto akitoa neno la shukrani kwa Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe.
Mkurugenzi wa Shinyanga Society Orphanage Centre, Bi. Ayam Ally Said akizungumza wakati Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (katikati) alipotembelea kituo hicho cha kulelea watoto yatima kwa ajili ya kutoa zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025.
Mkurugenzi wa Shinyanga Society Orphanage Centre, Bi. Ayam Ally Said (wa pili kulia) akizungumza wakati Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe alipotembelea kituo hicho cha kulelea watoto yatima kwa ajili ya kutoa zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto Manispaa ya Shinyanga.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto Manispaa ya Shinyanga.
Sehemu zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto Manispaa ya Shinyanga.
Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, Sophia Kang’ombe akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto. 
Afisa Mfawidhi wa Makazi ya Wazee na Wasiojiweza Kolandoto, Sophia Kang’ombe akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto. 
 Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja, Bi. Anascholastica Ndagiwe, akizungumza baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto. 
Catarina Maige akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto. 
Kija Nipuge akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto. 
Kija Nipuge akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa Wazee na Wasiojiweza Kolandoto. 
 Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa mabinti wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (aliyevaa kanzu) akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa mabinti wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (aliyevaa kanzu) akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa mabinti wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe (aliyevaa kanzu) akikabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa mabinti wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.


Sehemu ya zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa mabinti wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.Sehemu ya zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025 kwa mabinti wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.
Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe akisaini kitabu cha wageni katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Laki Moja, Bi. Anascholastica Ndagiwe akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Shirika la Agape AIDS Control Programme (AACP), linalosimamia Kituo cha kulelea mabinti waliopitia ukatili wa kijinsia katika Shule ya Sekondari ya Agape Knowledge Open School, Yohana Hezron akitoa neno la shukrani baada ya Mdau wa maendeleo, Mhandisi James Jumbe kukabidhi zawadi ya Sikukuu ya Mwaka Mpya 2025

About the author

Alex Sonna