Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

grandpashabet

grandpashabet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

spinco

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

İmajbet

royalbet

Featured Michezo

DR. SAMIA JUMBE HOLIDAY BONANZA KUTIKISA SHINYANGA DESEMBA 31, ZAWADI NONO KUTOLEWA

Written by Alex Sonna
Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro akielezea kuhusu mashindano hayo.

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Katika kusherehekea mapumziko ya mwisho wa mwaka, mdau wa michezo Mhandisi James Jumbe ametangaza rasmi kuanza kwa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA ‘Shinyanga Imeamka!’ yatakayofanyika katika wilaya ya Shinyanga. 

Mashindano haya yatakuwa na michezo mbalimbali, huku zawadi za kuvutia zikitolewa kwa washindi.

Akitangaza mashindano hayo pamoja na kukabidhi jezi kwa timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu leo Ijumaa, Desemba 27, 2024, Mratibu wa mashindano hayo, Jackline Isaro, amesema mashindano yatafanyika tarehe 31 Desemba 2024 kuanzia asubuhi katika uwanja wa CCM Kambarage, mjini Shinyanga.

Michezo Itakayoshiriki

Mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA yatakuwa na michezo mingi, ikiwemo mpira wa kikapu, bao, karata, drafti, msusi mwenye kasi zaidi, mbio za baiskeli, Netball, wavu, PS Game, mchezo wa kufukuza kuku, kushindana kula, pull table na muziki.

Michezo mingine, kama vile mchezo wa bao, karata, drafti, na msusi mwenye kasi zaidi tayari imezinduliwa na mashindano hayo yatafikia tamati siku ya Desemba 31, 2024.

Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro 

Lengo la Mashindano

Mratibu Jackline Isaro amesema kuwa lengo kuu la mashindano haya ni kufufua michezo mkoani Shinyanga na kutoa fursa kwa wachezaji na wadau wa michezo kuonyesha vipaji vyao. 

Isaro amesisitiza kuwa michezo ni muhimu kwa jamii kwa sababu inachangia afya, furaha, na pia ajira.

“Lengo la michezo hii ni kuonesha vipaji vya vijana wetu mkoani Shinyanga, na tunaamini kupitia mashindano haya tutapata wachezaji bora ambao watakuwa na nafasi ya kuendelezwa. Tunajua pia kuwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anahimiza michezo, na kupitia mashindano haya, tunatarajia kukuza michezo na vipaji katika mkoa wetu,” amesema Isaro.


Zawadi kwa Washindi

Mashindano haya yatatoa zawadi nono kwa washindi, ikiwa ni pamoja na fedha taslimu, ng’ombe, mchele na kreti za soda. Kwa mfano: Mchezo wa mpira wa miguu kati ya Upongoji Sports Club na Upongoji Stars: Mshindi atapata shilingi milioni moja, ng’ombe mmoja, mchele kilo 100, na kreti 10 za soda na Mshindi wa pili atapata shilingi 500,000/=, ng’ombe mmoja, mchele kilo 100, na kreti 10 za soda.

Mchezo wa Mabingwa wa Wilaya (Rangers FC vs Ngokolo FC), Mshindi atapata shilingi 500,000/=, ng’ombe mmoja, mchele kilo 100, na kreti 10 za soda, Mshindi wa pili atapata shilingi 300,000/=, ng’ombe mmoja, mchele kilo 100, na kreti 10 za soda.

Mchezo kati ya Bodaboda FC vs Bajaji FC, Mshindi atapata shilingi 500,000/=, ng’ombe mmoja, mchele kilo 100, na kreti 7 za soda na Mshindi wa pili atapata shilingi 300,000/=, ng’ombe mmoja, mchele kilo 100, na kreti 7 za soda.

Pia, mashindano ya mbio za baiskeli kwa wanaume na wanawake yatakuwa na zawadi kwa washindi kutoka nafasi ya kwanza hadi ya kumi

Washindi wa michezo mingine kama bao, karata, drafti, na msusi mwenye kasi zaidi pia watapata zawadi ya shilingi 100,000/= kila mmoja.

Kwa upande wa Mpira wa pete, mshindi wa kwanza atapata shilingi 500,000=, kreti 7 za soda, na mchele kilo 50, huku mshindi wa pili akiondoka na shilingi 300,000/=, mchele kilo 50, na kreti 7 za soda.

Zaidi ya hayo, zawadi za shilingi 100,000/= zitatolewa kwa washindi wa pull table, huku mashindano ya kufukuza kuku na kushindana kula yatatoa zawadi za kuku na shilingi 20,000/= kwa mshindi upande wa wanawake na wanaume.

Jackline Isaro akizungumza na waandishi wa habari

Mratibu Jackline Isaro ametoa wito kwa wananchi wa Shinyanga kujitokeza kwa wingi kushuhudia michezo hii. 

Amesisitiza kuwa hakutakuwa na kiingilio kwa michezo yote, hivyo ni fursa nzuri kwa watu wa Shinyanga kuungana pamoja na kusherehekea mapumziko ya mwaka kwa njia ya michezo.

“Tunawaalika Wanashinyanga wote kujitokeza kwa wingi kushuhudia michezo hii ambayo itafanyika rasmi Desemba 31, 2024 kuanzia asubuhi katika uwanja wa CCM Kambarage. Hakutakuwa na kiingilio cha aina yoyote,” amesema Isaro.

Nao Washiriki wa bonanza hilo akiwemo Mohamed Juma, Ngassa Swaganya na James Edward wameonyesha furaha na shauku kubwa kushiriki bonanza hilo na wakisema ni fursa nzuri kuonesha vipaji vyao.

Mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA ni fursa muhimu kwa kuendeleza michezo mkoani Shinyanga na kutangaza vipaji vya vijana. 

Pamoja na burudani ya michezo, zawadi za kuvutia zinatoa motisha kwa washiriki na kuhamasisha jamii kushiriki katika shughuli za kijamii zinazochangia maendeleo ya afya na ustawi wa watu.

Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro akielezea kuhusu mashindano hayo. Picha na Kadama Malunde
Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro akiwa na viongozi wa timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu 
Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro (kushoto) akikabidhi jezi kwa moja ya timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro (kushoto) akikabidhi jezi kwa moja ya timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu 
Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro (kushoto) akikabidhi jezi kwa moja ya timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu 
Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro (kushoto) akikabidhi jezi kwa moja ya timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu 
Mratibu wa mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA, Jackline Isaro (kushoto) akikabidhi jezi kwa moja ya timu zitakazoshiriki katika mashindano ya mpira wa kikapu 
Mwenyekiti wa Timu ya Bodaboda FC, Mohamed Juma akielezea namna walivyojipanga kushiriki mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA
Mwenyekiti Msaidizi wa Chama cha Baiskeli Mkoa wa Shinyanga, Ngassa  Swaganya akielezea namna walivyojipanga kushiriki mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA
Mchezaji wa Basket Ball , James Edward akielezea namna walivyojipanga kushiriki mashindano ya DR. SAMIA / JUMBE HOLIDAY BONANZA

About the author

Alex Sonna