Na Mwandishi Wetu.
Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) chini ya Mwenyekiti wake *Ndg Mary Pius Chatanda (MCC)* inawakumbusha Wakazi wote wa *Mkoa wa Iringa, Mbeya na Wilaya ya Mpwapwa (M) Dodoma* kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kuanzia Tarehe 27 Disemba, 2024 hadi 02 Januari, 2025 kwaajili ya kushiriki uchaguzi mkuu 2025.
*Kila mtu mwenye sifa ya kupiga kura amkumbushe mwenzake, rafiki yake, mwanae, mzazi wake au jirani yake kuwa tunajiandikisha sasa*
#uwtimara
#kujiandikishanihakiyako
#kaziiendelee