Na Mwandishi Wetu, Songea, Ruvuma.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, *Ndg Mary Pius Chatanda (MCC)* ameongoza harambee ya ununuzi wa gari kwa ajili ya usafiri wa Mchungaji Julia Philemoni katika Kanisa Kuu la Jimbo la KKKT Songea.
Katika harambee hiyo, Chatanda alichangia pesa taslimu *Shilingi Millioni Mbili na Laki Sita na Elfu Sitini (2,660,000/=).*
#uwtimara
#Jeshiladktsamiadktmwinyi
#Kaziiendelee
#Ushindinilazima
#Miaka63YaUhuru