Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MAJIKO YA GESI 3,255 KUTOLEWA KWA BEI YA RUZUKU LONGIDO 

Written by Alex Sonna

Mbunge wa Jimbo la Longido na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa (wa pili kushoto) akiwa na wananchi wa Longido wakati wa kuanza usambazaji wa majiko ya gesi wilayani humo yaliyotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% ikiwa ni jitihada za Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

……..

  • Wananchi wamshukuru Rais Samia

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza usambazaji wa majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya ruzuku Wilayani Longido Mkoani Arusha ikiwa ni utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.

Hayo yameelezwa Desemba 3, 2024 Wilayani Longido na Mhandisi wa Miradi wa REA, Kelvin Tarimo wakati wa mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Longido na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa wa kuelezea utekelezwaji wa miradi mbalimbali ya Serikali wilayani humo.

“Tupo hapa Wilayani Longido kwa ajili ya kutoa elimu na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ikiwa ni pamoja na kuanza rasmi uratibu wa mradi wa kusambaza na kuuza majiko ya gesi (LPG) ya kilo 6 ambapo kwa Wilaya ya Longido pekee jumla ya majiko 3,255 yatauzwa kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50,” amesema Mhandisi Tarimo.

Akizungumzia utekelezaji wa miradi, Mhe. Kiruswa ameipongeza REA kwa kutekeleza miradi yake kwa ufanisi ambapo alisema kwa wilaya hiyo ya Longido hadi sasa vijiji vyote 51 vimefikishiwa umeme na kazi inaendelea ya kuunganisha vitongoji.

Mhandisi Tarimo amesema Wakala wa Nishati Vijijini unalo jukumu la kuhakikisha Watanzania wanaachana na matumizi ya nishati isiyo safi na salama kama ambavyo imeelekezwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Aidha, ametoa rai kwa wananchi kutumia umeme kujiletea maendeleo hasa ikizingatiwa kuwa umeme ni fursa.

“Wakala unatoa rai kwa wananchi kutumia umeme kujiletea maendeleo ya kiuchumi na pia kupikia kwani umeme ni moja kati ya nishati rafiki kwa matumizi ya kupikia,” amesisitiza.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi wa Longido wamepongeza jitihada za Serikali za kuwasambazia nishati safi ya kupikia mbayo wamesema ni hatua nzuri ya kulinda afya zao na mazingira kwa ujumla.

Sinyati Yohana mkazi wa Kata ya Ketumbeine amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaondolea kero wananchi wa Longido hususan wanawake na watoto ya kutembea umbali mrefu kusaka kuni kwa ajili ya kupikia.

Naye Larasha Lulungen mkazi wa Kata ya Matale amesema uwepo wa nishati safi ya kupikia wilayani hapo ni hatua ya kupongezwa kwani inakwenda kuimarisha afya za wananchi ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakitumia kuni kupikia.

“Tulikuwa tunasikia tuu nishati safi lakini leo tumeelimishwa na pia tumeshuhudia majiko ya gesi yaliyotolewa na Serikali kwa ruzuku,” amesema Lulungen.

Wakala wa Nishati Vijijini unaendelea kutekeleza mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa lengo la kuhakikisha ifikapo mwaka 2034 asilimia 80 ya wananchi wawe wameachana na matumizi ya nishati zisizo safi na salama.

Mbunge wa Jimbo la Longido na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa akimkabidhi jiko la gesi Nanyori Laizer mkazi wa Kata ya Ngarenaibo. Majiko hayo yanatolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% ikiwa ni utekelezaji wa Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.

Mhandisi wa Miradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Kelvin Tarimo (mwenye fulana nyeusi) akitoa elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa wananchi wa Longido wakati zoezi la kuanza rasmi kusambaza majiko ya gesi (LPG) kwa bei ya ruzuku ya 50% wilayani humo.

Mbunge wa Jimbo la Longido na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa (wa pili kushoto) akiwa na wananchi wa Longido wakati wa kuanza usambazaji wa majiko ya gesi wilayani humo yaliyotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% ikiwa ni jitihada za Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.

Mhandisi wa Miradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Kelvin Tarimo akihamasisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwa wananchi wa wilaya ya Longido (hawapo pichani) wakati wa kuanza kwa utekelezaji wa kusambaza majiko ya gesi (LPG) yanayotolewa kwa bei ya ruzuku wilayani humo.

About the author

Alex Sonna