Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA BUNGENI

Written by mzalendoeditor

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akifafanua hoja mbalimbali wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni katika mkutano wa 16 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo Mhe. Ramadhan Suleiman Ramadhan akizungumza wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni katika mkutano wa 16 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira wakiwa kwenye kikao cha kuwasilisha taarifa ya uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni katika mkutano wa 16 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo akifafanua jambo wakati wa kikao kikao cha kuwasilisha taarifa ya uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni katika mkutano wa 16 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo jijini Dodoma

Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Nicodemus Chuwa akifafanua jambo wakati wa kikao kikao cha kuwasilisha taarifa ya uchambuzi wa Sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni katika mkutano wa 16 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo jijini Dodoma

About the author

mzalendoeditor