Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

SERIKALI YAONYA WATUMISHI WA UMMA NCHINI WANAOVAA MAVAZI YASIYOFAA

Written by Alex Sonna

 

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi,akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma,kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Oktoba 17 had 18,2024 jijini Dodoma

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi,akisisitiza jambo  wakati akifungua kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma,kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Oktoba 17 had 18,2024 jijini Dodoma

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Naibu  Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi, wakati akifungua kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma,kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Oktoba 17 had 18,2024 jijini Dodoma

 KAIMU Mkurugenzi  Idara ya Usimamizi wa Maadili,Bw.Ally Abdul Ngowo,akizungumza wakati wa  kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma,kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Oktoba 17 had 18,2024 jijini Dodoma

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma,kinachofanyika kwa siku mbili kuanzia leo Oktoba 17 had 18,2024 jijini Dodoma

Na.Alex Sonna-DODOMA
SERIKALI  imeonya ukiukwaji wa maadili kwa watumishi wa umma ikiwemo mmomonyoko wa maadili ikiwemo viashiria vya  mapenzi ya jinsia moja na mavazi yasiyofaa kwa watumishi wa umma jambo ambalo  limekuwa likichafua taswira ya serikali.
Hayo yamesemwa leo Oktoba 17,2024 jijini Dodoma Naibu  Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi,wakati akifungua kikao kazi cha kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya maadili na utawala bora baina ya taasisi simamizi za maadili ya utendaji na mamlaka simamizi za maadili ya kitaluma.
Bw.Daudi amesema kuwa  Ofisi imeanza kupokea tuhuma na malalamiko kuhusu kuwepo kwa viashiria vya mmomonyoko wa Maadili kinyume na mila na desturi za nchi yetu vinavyohusu vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa baadhi ya watumishi wa umma.
Amesema  kuwa, vitendo hivyo ni miongoni mwa vitendo vya kijinai kwa mujibu wa sheria za nchi lakini pia ni vitendo vya kinyume na maadili kwa mujibu wa miongozo ya utumishi wa umma.
“Hivyo, tumieni kikao kazi hiki, kujadili na kubadilishana uzoefu ili kuja na mapendekezo ya namna sahihi ya kudhibiti vitendo hivi na namna sahihi ya kushughulikia masuala haya yatakapojitokeza katika maeneo yenu ya kazi kwa baadhi ya watumishi wanaohusishwa navyo ili kuepuka kuchafua taswira ya utumishi wa umma kwa ujumla,”amesema Bw.Daudi
Aidha ameziomba taasisi za Dini nchini kusimamia maadili na kuonya na kukemea vitendo hivyo vya ndoa ya jinsia moja  katika jamii ya kitanzania mana wao wana nguvu na Sauti kubwa ya kusikika zaidi.
“Hivi sasa zipo nchi zimeacha kuzaliana kutokana na kushamiri kwa vitendo hivyo vya mapenzi ya jinsia moja,,Tanzania hatutaki kufika huko ndio mana tunakemea,”amesema 
Kuhusu mavazi yasiofaa ameelekeza watumie waraka namba 6 wa utumishi wa umma unaozungumzia mavazi kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaochafua taswira ya serikali kwa kuvaa hovyo ndani na nje ya utumishi.
Amesema kuwa zipo taasisi ambazo viongozi wake wameanza kulegalega kwa kutochukua hatua na kuacha watumishi wakivaa mavazi kinyume cha maadili ya utumishi wa umma.
“Nawaagiza kutumia waraka namba sita  nasisitiza  kuchukua hatua dhidi ya watumishi wanaovaa mavazi yasiyofaa na kuweka mkazo katika hilo , msisite kuchukua hatua mana yanachafua taswira nzima ya utumishi wa umma,”amesema 
Amesema  Ofisi imekuwa ikipokea mrejesho kutoka kwa wananchi tunaowahudumia, kuhusu hali isiyoridhisha ya mavazi kwa watumishi wetu wa umma.
Kwa msingi huo, tumieni kikao hiki kupitia Waraka wa Utumishi wa Umma Na. 6 wa mwaka 2020 kuhusu Mavazi kwa Watumishi wa Umma, ili kujengeana uwelewa wa pamoja kupitia uzoefu mtakaobadilishana baina yenu kuhusu utekelezaji wa Waraka huo kwa watumishi waliopo kwenye maeneo yenu,.
“Na muweze kuchukua hatua ipasavyo kwa wanaokiuka Waraka husika ikizingatiwa kuwa, mwonekano wa watumishi wa umma wanapotoa huduma unabeba taswira ya taasisi, utumishi wa umma na Serikali kwa ujumla;,”amesema
Aidha amewataka Watumishi wa umma wa kada za afya na ardhi  kuachana na vitendo vilivyo kinyume na maadilii ya taaluma zao ikiwemo rushwa na kuwajibu vibaya wananchi wakati wa utoaji wa huduma.
Amesema kuwa kumekuwepo na taarifa za malalamiko mengi kutoka vyanzo mbalimbali, yatokanayo na vitendo vya ukikuwaji wa maadili ya utendaji na maadili ya kitaaluma katika utumishi wa umma. 
“Malalamiko hayo yamekuwa yakiwahusisha baadhi ya watumishi wetu wa umma  kutoka kada mbalimbali wakiwepo Wauguzi, Madaktari, Waalimu, Maafisa Utumishi, Maafisa Ardhi, Wahasibu katika Halmashauri, Wataalam waliopo Sekta ya Ugavi wa Umeme, na Maji, pamoja na Wahandisi wanaosimamia miradi ya maendeleo. “amesema 
Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi  Idara ya Usimamizi wa Maadili,Bw.Ally Abdul Ngowo,amesema  wanatarajia kupokea taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Septemba 2023 hadi Septemba  2024 katika maeneo yao kuhusu suala la maadili.
“Kwa hiyo Kila Taasisi au Kila mshiriki  atapata nafasi kuwasilisha Taarifa ya utekelezaji wake na  amefanya nini katika eneo lake kuhusu suala la maadili katika kipindi hicho.”amesema

 

About the author

Alex Sonna