Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francis Xavier iliyopo Nyakahoja Jijini Mwanza. Tarehe 14 Oktoba 2024.

……

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi na waumini mbalimbali katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francis Xavier iliyopo Nyakahoja Jijini Mwanza. 

Akizungumza kwa niaba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumalizika kwa ibada hiyo, Makamu wa Rais amesema serikali inawashukuru viongozi wa dini kwa kuendelea kuliombea Taifa pamoja na Viongozi wake. 

Makamu wa Rais amesema Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ameacha misingi imara inayojenga Taifa imara ambayo viongozi wa sasa na wajao hawana budi kuiendeleza. 

Ametaja mambo mbalimbali ambayo Baba wa Taifa alitekeleza enzi za uhai wake kama ifuatavyo.

  • Aliongoza kwa ustadi jitihada za kuipatia Tanganyika uhuru na kuunganisha makabila zaidi ya 120 na kuwezesha kutumika kwa lugha moja ya kiswahili. Alibainisha wazi wazi nia yake ya kuchelewesha uhuru wa Tanganyika hadi nchi nyingine ziwe huru. Chini ya uongozi wake, Tanzania ilitoa rasilimali zake kusaidia harakati za ukombozi wa nchi nyingine, Mf. Msumbiji, Angola, Namibia, Afrika Kusini.
  • Alikuwa Mwanamajui (Pan-Africanist) halisi, aliyeasisi muungano wa Tanganyika na Zanzibar na alikuwa miongoni mwa waasisi wa Umoja wa Nchi huru za Afrika (OAU) kwa lengo la kuwaunganisha Waafrika. 
  • Mwalimu alikuwa mpenda amani. Ametuachia tunu ya amani na kuifanya nchi yetu kuwa kisiwa cha amani. Aidha, alikuwa msuluhishi mahiri wa migogoro ya Mataifa mengi Barani Afrika, mf. Burundi.
  • Alisimamia ulinzi wa Taifa letu kwa nguvu zote. Kwa mfano, Nduli Idd Amini alipojaribu kukalia kipande cha ardhi yetu, Mwalimu aliwaongoza Watanzania kumfukuza mvamizi huyo na kuwasaidia Waganda kumwondosha kabisa.
  • Alithamini sana haki ya kupata elimu kwa maendeleo ya Taifa na alitoa mchango mkubwa kupitia taaluma yake ya ualimu na pia Serikali yake iligharamia Watanzania kusoma ndani na nje ya nchi katika fani mbalimbali kama ulinzi, afya, uchumi, maji, kilimo ili kupata wataalam wa kutosha.
  • Alikuwa kiongozi mzalendo kweli kweli, ambaye hakujilimbikizia mali bali alijitoa ili kutatua changamoto za wananchi wake. Aliasisi maadili ya Viongozi wa umma na kuyaishi, pamoja na kupiga vita rushwa kwa maneno na vitendo.
  • Katika kujenga na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana na kujitoa kwa moyo kulitumikia Taifa lao pasipo kuchoka, Mwalimu alianzisha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). 
  • Alihimiza kilimo kwa vitendo, akifundisha  kuzingatia kanuni bora za kilimo kama matumizi ya pembejeo, mbegu bora n.k.
  • Alikuwa mtunzaji na mhifadhi mahiri wa mazingira.  Alianzisha na kutunza msitu wa miti ya asili Kijijini kwake Mwitongo – Butiama.
  • Alimtegemea sana Mungu na alikuwa mwenye bidii ya kusali wakati wote.

  

Aidha Makamu wa Rais ametoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza katika kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Amewasihi wenye uwezo kujitokeza katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francis Xavier iliyopo Nyakahoja Jijini Mwanza. Tarehe 14 Oktoba 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba wa Taifa Hayati  Mwalimu. Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Francis Xavier iliyopo Nyakahoja Jijini Mwanza. Tarehe 14 Oktoba 2024.

About the author

Alex Sonna