Featured Kitaifa

IGP WAMBURA AWASILI MKOANI KIGOMA

Written by mzalendoeditor
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Oktoba 5,2024 amefanya ziara ya kikazi mkoani Kigoma ambapo katika ziara hiyo amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya usalama mkoani humo.
IGP Wambura yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi kwa ajili ya kuzungumza na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali.

About the author

mzalendoeditor