Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE ASISITIZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA USAHIHI  

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti baada ya kuzindua Zahanati ya Getarungu iliyopo kata ya Nyansurura wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi akitoa neno la shukrani kwa Serikali kutokana na miradi ambayo imeitekeleza katika mkoa wake wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.

Mwonekano wa vitanda vya wagonjwa vitakavyotumika katika Zahanati ya Getarungu iliyokaguliwa na kuzinduliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene katika Zahanati ya Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara

Baadhi ya Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti  wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (aliyesimama kushoto) wakati akizungumza nao baada ya kukagua na kuzindua Zahanati ya Wilaya ya Serengeti wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene (aliyevaa miwani) akisikiliza changamoto ya kiutumishi kutoka kwa Mhe. Diwani Bw. Josephat Seronga (aliyevaa kofia) wakati wa ziara ya kikazi ya Waziri huyo iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akisisitiza jambo baada ya kukagua vitanda vya wagonjwa kwenye Zahanati ya Getarungu iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Mara iliyolenga kukagua na kuzindua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mwonekano wa nyuma wa Zahanati ya Getarungu iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara ambayo imekaguliwa na kuzinduliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati wa ziara yake ya kikazi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Bi. Kemirembe Lwota baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo kwa lengo la kukagua na kuzindua Zahanati ya Getarungu iliyopo katika Halmashauri hiyo mkoani Mara.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ambayo aliikagua na kuizindua wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mara.

       

Na. Veronica Mwafisi-Serengeti

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara kutekeleza miradi ya maendeleo kwa usahihi ili iweze kudumu kwa muda mrefu na kutumika kikamilifu na wananchi.

Akizindua mradi wa Zahanati ya Getarungu uliofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Ujerumani kupitia Shirika ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) leo tarehe 3 Oktoba, 2024 wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amesema ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa zahanati hiyo na kutaka halmashauri za mkoa huo kuiga utekelezaji wa namna hiyo.

“Nimefurahi sana, kupitia ziara hii nzuri, kubwa nililojifunza ni utekelezaji wa miradi kwa usahihi sana, tujifunze na sisi halmashauri kuangalia miradi inayotekelezwa kwa usimamizi mzuri inavyokuwa na je sisi tunashindwa wapi? Mhe. Simbachawene ameuliza

Amesema mradi huo wa zahanani ya Getarungu umesimamiwa na Mkandarasi Maalum na umekuwa ni wa kuridhisha sana, lakini kwenye halmashauri ambako Wakandarasi wanalipwa mishahara, miradi yao inakuwa sio ya kuridhisha.

“Nimezindua zahanati hii ya Getarungu kwa kujidai sana, ni nzuri inafurahisha, nawasisitiza viongozi katika halmashauri kuiga mfano huu mzuri, tukiendelea kutosimamia kwa usahihi tutachukuliana hatua.” Mhe. Simbachawene amesisitiza

Amesema utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ni maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya jitihada za kukuza sekta ya utalii, kuongeza pato la taifa kupitia sekta ya utalii na kujenga mahusiano mazuri na wadau wa maendeleo na ndio sababu ya kupatikana kwa mradi huu wa zahanati   8 kwa mara moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti ikiwemo hiyo aliyoizindua leo ya Getarungu.

Mhe. Simbachawene ameendelea na ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi katika Mkoa wa Mara, ambapo leo ametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti na Butiama na kuzindua miradi mbalimbali ikiwemo zahanati ya Getarungu, barabara ya kituo kipya cha mabasi Koreri na Shule  ya Msingi Chief Manyori.

About the author

Alex Sonna