Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

BILIONI 14.5 KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI 135 RUVUMA KAYA 4,455 KUNUFAIKA

Written by Alex Sonna

Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA Kanda ya Kusini, Mhandisi Deogratius Nagu akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya umeme Mkoani Ruvuma kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Ahmed Septemba 30, 2024 wakati wa kumtambulisha Mkandarasi Kampuni ya CCC Intrnational Nigeria Ltd (hayupo pichani) anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme vitongojini mkoani humo.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Ahmed (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Ruvuma wakati wa hafla ya kumtambulisha Mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusambaza umeme vitongojini mkoani humo, CCC International Nigeria Ltd aliyewakilishwa na Mhandisi Li Rongqing (wa tatu kushoto).

Na Mohamed Saif, Ruvuma

Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleleza mradi wa shilingi bilioni 14.56 wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 Mkoani Ruvuma utakaonufaisha Kaya 4,455 mkoani humo.

Mhandisi Msimamizi wa Miradi ya Umeme REA Kanda ya Kusini, Mhandisi Deogratius Nagu amebainisha hayo Septemba 30, 2024 Mkoani Ruvuma mbele ya Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Kanali Ahmed Ahmed wakati wa kumtambulisha Mkandarasi aliyeshinda zabuni ya kutekeleza mradi huo Kampuni ya CCC International Nigeria LTD.

“Katika kuhakikisha maendeleo yanafika kote nchini, Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeidhinisha kiasi cha shilingi bilioni 14.56 kitumike kutekeleza mradi wa kusambaza umeme katika vitongoji 135 Mkoani hapa,” alisema Mhandisi Nagu.

Akizungumza wakati wa utambulisho wa mkandarasi huyo, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Ahmed aliipongeza REA kwa kuendelea kutekeleza dhamira ya Rais Dkt. Samia kwa vitendo na alimsisitiza Mkandarasi kuhakikisha anakamilisha mradi kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa.

Kanali Ahmed alitoa wito kwa wananchi maeneo ya miradi kuwa waadilifu kwa kulinda na kutunza miundombinu ya umeme na aliwasihi kutoa ushirikiano kwa mkandarasi ili kumrahisishia utekelezaji.

“Mkandarasi hakikisha unawashirikisha wananchi, wawe na taarifa sahihi na hii itakusaidia kupata ushirikiano kutoka kwao lakini pia ofisi yetu ipo wazi na tutakupatia ushirikiano utakaouhitaji,” alisema Kanal Ahmed.

Akizungumzia utekelezaji wa mradi wa kufikisha umeme vitongojini, Mhandisi Nagu alisema kati ya vitongoji 3,693 vilivyopo Mkoani humo, vitongoji 1,973 vimefikishiwa umeme ambayo ni sawa na asilimia 53 na kwamba vitongoji 135 ambavyo vitapata umeme kupitia mradi huo na  kuongeza idadi ya vitongoji vyenye umeme katika Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, alibainisha kuwa mradi huo ambao mkandarasi wake ametambulishwa hivi leo, utatekelezwa kwa muda wa miezi 24 na hivyo kukamilika ifikapo Septemba 2026 na kwamba vitongoji vitakavyobaki vitaendelea kupatiwa umeme kulingana na upatikanaji wa fedha.

Mhandisi Nagu alisema mradi utatekelezwa katika majimbo Tisa katika wilaya za Songea, Mbinga, Nyasa, Namtumbo na Tunduru na kwamba katika kila Jimbo Vitongoji 15 vitanufaika.

Kuhusiana na hali ya upatikanaji wa umeme vijijini kwa ujumla katika Mkoa huo, Mhandisi Nagu alisema Mkoa wa Ruvuma unajumla ya vijiji 554 ambavyo alibainisha hadi hivi sasa vyote vimefikishiwa umeme ambayo ni sawa na asilimia 100.

“Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya umeme vijijini nchi nzima pamoja na kuwasimamia kwa karibu Wakandarasi wote waliopewa zabuni ya kutekeleza miradi hiyo ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa ili iweze kuwanufaisha wananchi kama ilivyopangwa,” alisema.

Alimuhakikishia Mkuu huyo wa Mkoa kuwa Wakala umejipanga vyema kuhakikisha umeme unafika kwenye vijiji vyote kote nchini na kwamba baadhi ya Mikoa ikiwemo Ruvuma vijiji vyote tayari vimefikiwa na sasa unasambazwa vitongojini.

About the author

Alex Sonna