Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satΔ±n al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satΔ±n al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektΓΆr

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonuslarΔ± veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ΰΈ‹ΰΈ±ΰΈšΰΉ„ΰΈ—ΰΈ’

vdcasino

xxxΰΉ€ΰΈ’ΰΉ‡ΰΈ”ΰΈ’ΰΈ±ΰΈš

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

Δ°majbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

π—‘π—”π—œπ—•π—¨ π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—”π—œπ—§π—”π—žπ—” 𝗲-π—šπ—” π—žπ—¨π—œπ— π—”π—₯π—œπ—¦π—›π—” π—¨π—¦π—›π—œπ—₯π—œπ—žπ—œπ—”π—‘π—’ 𝗑𝗔 π—¦π—˜π—žπ—§π—” π—•π—œπ—‘π—”π—™π—¦π—œ

Written by mzalendo

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Clement Sangu (Mb), ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi, ili kuongeza wigo wa ajira kwa vijana wabunifu kwenye eneo la TEHAMA.

Mhe. Sangu ametoa rai hiyo hivi karibuni, wakati akifunga programu ya awamu ya tano ya mafunzo kwa vitendo (practical training) pamoja na mafunzo kazini (internship) kwa mwaka wa fedha 2024/2025, inayoendeshwa na e-GA kupitia Kituo chake cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao (e-GovRIDC) jijini Dodoma.

“Naipongeza e-GA kwa kazi nzuri mnayofanya ya kukuza vipaji na kuongeza uwezo kwa vijana katika matumizi ya TEHAMA, lakini pia nawashauri kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi ili kutoa fursa kwa wanafunzi wanaoshiriki mafunzo kwa vitendo pamoja na mafunzo kazini katika kituo hiki kupata fursa za ajira “, alisema Mhe. Sangu.

Alibainisha kuwa, ushirikiano kati ya e-GA na sekta binafsi utaongeza tija katika kukuza na kuimarisha tasnia ya TEHAMA, na hivyo kuongeza fursa za ajira kwa vijana na hatimaye kupunguza changamoto ya ajira kwa taifa.

Itakumbukwa kuwa hivi karibuni, baadhi ya taasisi binafsi zikiwemo Benki na Kampuni za Simu za Mkononi, zilitembelea kituo hicho na kuonesha nia ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya ushirikiano (MOU) katika masuala ya elimu, utafiti, na ubunifu wa TEHAMA, ikiwa ni hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano kati ya e-GA na taasisi hizo.

β€œNimetembelea miradi β€˜projects’ mbalimbali zinazoendelea katika kituo hiki na nimeona kazi kubwa ambayo e-GA mnaifanya ya kuwaandaa vijana wetu, ili waweze kuendana na mabadiliko ya teknolojia mpya zinazoibukia kama vile Akili Mnemba β€˜Artificial Intelligence- AI’, β€˜Machine Learning, β€˜Blockchain’ na Sarafu ya Kidijitali β€˜Digital Currency’ na nimeona jinsi vijana wetu walivyo na uwezo mkubwa katika maeneo hayo”, alisema Mhe. Sangu.

Aidha, aliipongeza e-GA kwa kuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha vijana wanajifunza teknolojia mpya zinazoibuka duniani, ili waweze kufanya bunifu mbalimbali za TEHAMA ikiwa ni pamoja na kutengeneza mifumo ya kielektroniki kupitia teknolojia hizo itakayosaidia kuongeza ufanisi wa utendaji kazi Serikalini na utoaji wa huduma kwa wananchi.

β€œMafunzo haya mnayoyatoa yanawasaidia wanafunzi kuongeza ujuzi na uzoefu katika kuzielewa teknolojia mpya ili kuchochea maendeleo na mageuzi makubwa ya Serikali ya kidigitali, na hivyo kuwa na kizazi chenye ujuzi wa kutosha kuhusu TEHAMA na hatimaye kushiriki katika kuijenga Serikali ya Kidijitali”, alifafanua Mhe. Sangu.

Alibainisha kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi na kuijengea uwezo Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), ili kuhakikisha matumizi ya TEHAMA Serikalini yanazidi kuimarika sambamba na kuandaa vijana mahiri katika TEHAMA ili washiriki katika ujenzi wa Serikali ya Kidijitali.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa e-GA Mhandisi Benedict Ndomba, aliahidi kuendeleza na kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi, pamoja na kuwajengea uwezo vijana katika TEHAMA ili kutoa fursa kwa vijana kuonesha uwezo wao katika TEHAMA na kuweza kushindana katika soko la ajira duniani.

β€œe-GA itaendeleza ushirikiano na sekta binafsi pamoja na Vyuo Vikuu mbalimbali ili kuwajengea uwezo vijana katika eneo la TEHAMA, lakini pia kuwawezesha kushindana katika soko la ajira duniani na kwa kufanya hivyo, tutakuwa tumesaidia kupunguza changamoto ya ajira nchini”, alisisitiza Ndomba.

Akizuzungumza kwa niaba ya wanafunzi walioshiriki program hiyo, Bw. Philemon Mbunda ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), ameishukuru e-GA kwa kupata fursa ya kushiriki katika programu hiyo ambayo imewasaidia kuongeza ujuzi na uzoefu katika kuzifahamu teknolojia mpya zinazoibukia.
β€œTumekuwa hapa kwa muda wa wiki kumi na tumejifunza mambo mengi kuhusu teknolojia zinazoibukia na namna tunavyoweza kuzitumia katika kubuni mifumo mbalimbali itakayoleta tija kwa taifa letu, tunaahidi kuwa mabalozi wazuri na kuhakikisha elimu tuliyoipata hapa tunaiendeleza kwa vitendo”, alisema Bw. Philemon.

Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA), huendesha programu ya mafunzo kwa vitendo kila mwaka ambapo, huchukua vijana kutoka vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ili kuwajengea uwezo katika TEHAMA na kuweza kushindana katika soko la ajira, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025 wanafunzi 65 kutoka Vyuo Vikuu 12 walishiriki programu hiyo kwa muda wa wiki 10.

About the author

mzalendo