Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKAGUA UKARABATI NA UPANUZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGEA, BILIONI 40.87 ZATUMIKA.

Written by Alex Sonna

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza taarifa kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhusu ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea mara baada ya kuwasili Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi leo Septemba 23, 2024

….

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao umekamilika kwa asilimia 100 Mkoani Ruvuma.

Rais Dkt. Samia amekagua Kiwanja hicho, leo Septemba 23, 2024 mara baada ya kuwasili Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo, kuweka mawe ya msingi ya miradi na kuzungumza na wananchi.

Rais Dkt. Samia amepokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea uliohusisha upanuzi na kuongeza urefu wa barabara ya kuruka na kutua Ndege, ujenzi maegesho mapya ya Ndege (Apron), ujenzi wa barabara moja ya kiungio, ujenzi wa mnara wa waongoza ndege (Control Tower), kuimarisha maeneo ya usalama kiwanjani pamoja na Ununuzi, usimikaji wa taa za kuongozea ndege na gari la zimamoto.

Akitoa taarifa mbele ya Rais, Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ilitoa kiasi cha Shilingi Bilioni 40.87 kukarabati na upanuzi Kiwanja cha Ndege cha Songea ambao hivi sasa utekelezaji wake umekamilika kwa asilimia 100. 

Bashungwa ameeleza kuwa kukamilika kwa ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea umerahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kutoka ndani na nje ya nchi ambapo hivi sasa ndege za Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) zinatua mara 3 kwa wiki.

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mhandisi Mohamed Besta ameeleza kuwa kazi zilizofanyika za uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ni pamoja na ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua ndege (runway) kutoka mita 1,625 na upana wa 23 hadi kufikia mita 1,860 na upana wa mita 30 pamoja na ujenzi wa maegesho ya ndege (Apron) unaoruhusu ndege nne (4) aina ya Q400  Bombadier pamoja na ndege ndogo tatu (3) kupaki kwa wakati mmoja na hivyo kufanya Kiwanja hicho kufikia Kiwango cha 3C kwa mujibu wa viwango vya ICAO.

Naye, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Abdul Mombokaleo ameeleza kuwa baada ya kukamilika kwa uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Songea matarajio ni idadi ya abiria kuongezeka ambapo takwimu zimeoneshwa toka mwaka 2021 abiria walikuwa 3,900 na sasa wamefikia abiria 19,620.

Mradi wa Ukarabati na Upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea ni utekelezaji wa mikakati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuongeza ufanisi katika sekta ya usafiri na usafirishaji ili kuharakisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Songea na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed pamoja na viongozi wengine kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani humo ambapo amekagua na kupokea taarifa ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea leo Septemba 23, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza taarifa kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhusu ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Songea mara baada ya kuwasili Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi leo Septemba 23, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Songea Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi leo Septemba 23, 2024.

Muonekano wa sehemu ya barabara ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa mita 1,860 na upana wa mita 30 katika Kiwanja cha Ndege cha Songea iliyokamilika kujengwa Mkoani Ruvuma

Muonekano wa jengo la kuongozea ndege lililojengwa katika Kiwanja cha Ndege cha Songea, Mkoani Ruvuma.

About the author

Alex Sonna