slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

imajbet

artemisbet giriş

artemisbet

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

jojobet

vdcasino

kingroyal

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

truvabet

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AENDELEA NA ZIARA RUANGWA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Written by Alex Sonna

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akikagua  miundombinu ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)  ikiwa ni mwendelezo wa ziara maalum Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

…..

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo, ametoa rai kwa wasimamizi wa maghala kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala kutoa huduma kwa uadilifu na uaminifu ili kuhakikisha mazao ya wakulima yanayohifadhiwa katika maghala hayo yanaingia na kutoka yakiwa na ujazo unaolingana ili kuvutia wafanyabiaashara wa ndani na nje kutumia Mfumo huo.

Vilevile Waziri Jafo ameendelea kuwasisitiza Wakulima kuhifadhi mazao yao katika mfumo wa stakabadhi za ghala yakiwa na ubora na kuacha tabia ya kuchanganya mqzao hayo na mazao mengine au mchanga hali inayosababisha mazao hayo kushindwa kuuzika katika soko la kimataifa na kuchafua taswira ya nchi ya Tanzania ambayo imeingia mikataba ya biashara baina ya nchi Jumuiya za Kikanda na Kimataifa

Waziri Jafo, ameyasema hayo  alipokagua, kuweka Jiwe la Msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuongea na Wananchi wakati wa Ziara Maalum katika Wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo ikiongozwa na Kauli Mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone” iliyoanza tarehe 17 – 21/09/2024 Mkoani humo.

Aidha, akiwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani humo, Waziri Jafo, alikagua ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji unaujumisha Vijiji 56 vya Wilaya ya
Ruangwa, Lindi na Nachingwe kutoka chanzo cha mto Nyangao (wilaya ya Lindi) na Ujenzi wa Barabara ya Mipingo yenye urefu wa Km. 0.78 pamoja na Chuo cha Ufundi Stadi VETA, na Kuzindua Mradi wa Jengo la ghorofa lenye madarasa 8, ofisi 4 na matundu 24 ya vyoo katika Shule ya Msingi Likangara

Katika hatua nyinhine wakati akiongea na Wananchi wa Naipanga pamoja na Wafanyabiashara wa Soko la Matunda Wilayani humo, Waziri Jafo aliwahakikishia kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaendele kutatua changamoto mbalimbali walizonazo ili kuhakikisha kuwa huduma muhimu zinaendelea kutolewa kwa umma.

Aidha, amewashauri Wananchi wa Wilaya hiyo kulinda, kutunza na kutumia vyema majengo na vifaa mbalimbali vilivyoweka kupitia Miradi hiyo ya Maendeleo pamoja na kuongeza kasi ya kutafuta hati ya ardhi kwa baadhi ya miradi ili kuhakikisha wanaendelea kupata huduma bora za afya, elimu, maji na mingineyo.Walinde miundombinu madarasa na wasichafue kuta.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Mhe. Hassan ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo Wilayani humo na kuahidi kuwa Wilaya yake itasimamia itekelezaji wa maagizo yote yaliyotolewa ilinkuhakikisha Miradi yote ya Maendeleo Wilayani humo inakamilika kwa wakati na kuanza kitoa huduma kwa wananchi katika muda uliopangwa.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi wa Nandagara waliompokea kwa shangwe wilaya ya Ruangwa  wakati wa ziara Maalum wilayani humo inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi wa Nandagara waliompokea kwa shangwe wilaya ya Ruangwa  wakati wa ziara Maalum wilayani humo inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na wananchi wa Nandagara waliompokea kwa shangwe wilaya ya Ruangwa  wakati wa ziara Maalum wilayani humo inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akikagua  Mradi wa Usambazaji Maji vijiji 34 wilaya ya Ruangwa, vijiji 21 wilaya ya Nachingwea na kijiji 1 wilaya ya Lindi kwa kutumia chanzo cha maji cha mto Nyangao  ikiwa ni mwendelezo wa ziara maalum wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akikagua  Mradi wa Usambazaji Maji vijiji 34 wilaya ya Ruangwa, vijiji 21 wilaya ya Nachingwea na kijiji 1 wilaya ya Lindi kwa kutumia chanzo cha maji cha mto Nyangao  ikiwa ni mwendelezo wa ziara maalum wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akikagua  miundombinu ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)  ikiwa ni mwendelezo wa ziara maalum Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akizungumza mara baada ya kukagua  miundombinu ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)  ikiwa ni mwendelezo wa ziara maalum Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo,akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Veta ya Ruangwa mara baada ya kukagua  miundombinu ya Chuo cha Ufundi Stadi (VETA)  ikiwa ni mwendelezo wa ziara maalum Mkoani Lindi inayolenga kukagua utekekelezaji wa Miradi ya maendeleo katika Awamu ya Sita chini ya kauli mbiu isemayo “Rais Samia na Maendeleo Wasikie na Waone”.

About the author

Alex Sonna