Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

KATAMBI AKEMEA VIKALI VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WENYE UALBINO

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi,akizungumza  wakati wa kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika leo Septemba 21,2024  jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda,akizungumza  wakati wa kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika leo Septemba 21,2024  jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Asasi ya Watu Wote ni Sawa (WAWOSA), Magreth Swai,akielezea lengo la kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika leo Septemba 21,2024  jijini Dodoma.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi (hayupo pichani) ,akizungumza  wakati wa kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika leo Septemba 21,2024  jijini Dodoma.

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika leo Septemba 21,2024  jijini Dodoma.

Na; Mwandishi Wetu – DODOMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amekemea vikali vitendo vya ukatili na mauaji dhidi ya Watu wenye Ualbino na kueleza kuwa wanaofanya vitendo hivyo kuchukuliwa hatua za kisheria.

“Kumekuwa na changamoto juu ya makundi maalum ya Watu wenye Ulemavu, Wanawake na Watoto, hivyo katika kukabiliana na changamoto hizo serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuchukua hatua ili kuhakikisha inaondoa changamoto hizo,” amsema.

Mhe. Katambi amebainisha hayo leo Septemba 21, 2024 wakati wa kongamano la Binti mwenye Ndoto, lililolenga kupinga ukatili, mauaji ya watoto, wanawake na unyanyapaa dhidi ya Watu wenye Ualbino kuelekea kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani linalofanyika jijini Dodoma.

Aidha, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau katika kuelimisha jamii kuhusu haki za Watu wenye Ulemavu sambamba na kupambana na unyanyasaji, ramli chonganishi, mila potofu na mauaji ya Watu wenye Ualbino.

Kwa upande wake, Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda ametoa rai kwa jamii kuendelea kupinga vitendo vya kikatili wanavvyofanyiwa Watu wenye Ulemavu, hivyo amewasii pindi wanapoona matukio hayo watoe taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama.

Naye, Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Cde. Rehema Sombi ameipongeza Serikali kwa kuendelea kutoa huduma kwa Watu wenye Ulemavu nchini wakiwemo wenye Ualbino ili kuhakikisha kundi hilo linapata haki zao za msingi.

Akizungumza awali Mkurugenzi wa Asasi ya Watu Wote ni Sawa (WAWOSA), Magreth Swai amesema watu wenye Ualbino wanahaki kama watu wengine, hivyo ametaka jamii kuendelea kuwalinda, kuwathamini na kuwashirikisha katika shughuli za kijamii.

Kongamano hilo lilijikita katika uwezeshaji mabinti katika Nyanja mbalimbali kama vile masuala ya Uongozi, Teknolojia, Biashara na uwekezaji, Malezi na mahusiano ya kijamii, Ubunifu wa Mavazi na Kilimo ambapo limeongozwa na kauli mbiu isemayo “Ualbino siyo laana wala mikosi, Mlinde, Mthamini, Mshirikishe katika shughuli za kijamii,”

About the author

Alex Sonna