Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

MAVUNDE AGAWA MITUNGI YA GESI DODOMA MJINI

Written by Alex Sonna
MBUNGE wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde,akabidhi mitungi ya gesi  kwa taasisi za umma ikiwemo shule za msingi na Sekondari, Vituo vya afya , Zahanati pamoja na Mama Lishe na Baba lishe ili kupunguza adha ya uchafunzi wa mazingira leo Septemba 20,2024 jijini Dodoma
MBUNGE wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde,akabidhi mitungi ya gesi  kwa taasisi za umma ikiwemo shule za msingi na Sekondari, Vituo vya afya , Zahanati pamoja na Mama Lishe na Baba lishe ili kupunguza adha ya uchafunzi wa mazingira leo Septemba 20,2024 jijini Dodoma

Na.Alex Sonna-DODOMA

MBUNGE wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde,amekabidhi mitungi zaidi ya 1000 kwa taasisi za umma ikiwemo shule za msingi na Sekondari, Vituo vya afya , Zahanati pamoja na Mama Lishe na Baba lishe ili kupunguza adha ya uchafunzi wa mazingira.

Akizungumza leo Septemba 20,2024 jijini Dodoma mara baada ya kukabidhi Mhe.Mavunde amesema  kuwa lengo la kugawa mitungi hiyo ni katika  kuunga mkono  jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan juu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia

” Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele kuhamasisha wananchi kutumia gesi na nishati mbadala na kuacha kutumia mkaa na kuni ili kuepukana na uharibifu wa mazingira nchini na anamini mitungi hiyo itaendelea kulinda mazingira.”amesema Mhe.Mavunde

Hata hivyo amesema kuwa ataendelea kumuunga mkono Rais Samia katika matumizi ya nishati safi Mimi kama Mbunge wenu nitaendelea kupiga hodi katika maeneo mbalimbali ili lengo la asilimia 80 kutumia nishati hiyo liweze kufikiwa.

Aidha Mhe.Mavunde amesema kuwa ataendelea kutoa mitungi  ya gesi kwa makundi mbalimbali ya wananchi katika jimbo hilo kwani serikali imedhamiria kumtua mama kuni kichwani.

Katika hatua nyingine amesema serikali imeendelea kuleta maendeleo mbalimbali katika sekta ya barabara, maji, elimu, afya na sekta zingine na kwamba inaendelea kutoa fedha kwa ajili ya maendeleo.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemary Senyamule, amempongeza Mhe.Mavunde  kwa jitihada mbalimbali anazofanya katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Dodoma  huku akieleza kuwa mitungi hiyo  ni sehemu ya utunzaji mazingira kwa kutumia nishati mbadala ili kuepukana na matumizi ya kuni na mkaa lakini pia kupunguza muda wa kupika.
“Asante sana Mhe. Mbunge kwa kutuletea mitungi hiyo  Rafiki kwa mazingira, sasa tutapika kwa wakati mfupi . Tunakushukuru kwa kuwajali wananchi kata zote za Jimbo la Dodoma pamoja na taasisi mbalimbali za umma. Nendeni mkatumie mitungi hiyo ya kisasa ”,amesema Senyamule.
“Kati ya wabunge wanaofanya kazi vizuri, Mavunde yumo. Mavunde ni kijana mchapakazi na msikivu sana, mlifanya maamuzi sahihi kuchagua mbunge huyu. Naomba tumuunge mkono, tusimkatishe tamaa, tumtie moyo na tumuunge mkono kwa kumpa ushirikiano, huyu ni mtoto wetu tusitafute mtoto mwingine”,amesema Mhe. Senyamule.
 
“Hapa tulipo tunafanya kazi ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, na Mbunge huyu anatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM kwa vitendo”,ameongeza.

About the author

Alex Sonna