Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo ameshiriki kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) na mafunzo kwa Wajumbe wa Baraza Kuu.
Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Komredi Mohammed Ali Mohammed (Kawaida), kilifanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma, leo Septemba 17, 2024.
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#SisinaMamaMleziwaWana