Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU: SERIKALI YASAJILI MIRADI YA DOLA BILIONI 8.65 NDANI YA MWAKA MMOJA  

Written by Alex Sonna
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji  kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka kiganja kwenye kishikwambi kuashiria Uzinduzi  wa Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji . Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji , Profesa Kitila Mkumbo na kulia ni Naibu Waziri  Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji,  Stanslaus Nyongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri  wa Nishati Dkt. Doto Biteko wakionesha nakala za Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji  baada ya Waziri Mkuu kuzindua taarifa hizo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. Wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, wa pili kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais  Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, wa pili kula ni Katibu Mkuu  Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Tausi Kida, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Charamila. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa Taarifa za Maboresho ya Mazingira ya Uwekezaji na Biashara  Pamoja na Nyenzo  za Usimamizi wa  Uwekezaji wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika uzinduzi huo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salam, Septemba 11, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini.

“Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023 ikilinganishwa na miradi 8,401 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 5,558.47 iliyosajiliwa mwaka 2022,” amesema.

Alitoa kauli hiyo jana usiku (Jumatano, Septemba 11, 2024) wakati akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki hafla ya uzinduzi wa Taarifa tano za Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji na Nyenzo za Usimamizi wa Uwekezaji nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam. 

Akifafanua kuhusu taarifa ya kwanza ya uwekezaji ya mwaka 2023 ambayo inaonesha takwimu za matokeo chanya ya uwekezaji nchini, Waziri Mkuu alisema miradi hiyo imeweza kuzalisha ajira za moja kwa moja 195,803 ikilinganishwa na ajira 76,841 zilizozalishwa mwaka 2022.

Akielezea juhudi zilizofanywa na Serikali kwenye mipango ya maendeleo ya uwekezaji wa sekta ya umma na sekta binafsi, pamoja na mazingira ya biashara, Waziri Mkuu alisema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kufanya mageuzi ya uendeshaji na usimamizi wa Taasisi na Mashirika ya Umma ili kuhakikisha kwamba yanaendeshwa kwa ufanisi na tija katika kuwahudumia wananchi.

“Suala hili tayari limetolewa maelekezo na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 28 Agosti, 2024 katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Mashirika ya Umma na Taasisi za Serikali. Hivi sasa, Serikali imeridhia mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya Uwekezaji wa Umma itakayoimarisha na kuweka masharti bora ya usimamizi wa uwekezaji katika Mashirika ya Umma pamoja na kuwa na vyanzo vya uhakika vya fedha kwa ajili ya uwekezaji.”

Alisema Serikali imeendelea kuimarisha matumizi ya mifumo ya TEHAMA ikiwemo Ujenzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji unaoitwa Tanzania Electronic Investment Window (TeIW) ili kumwezesha mwekezaji kusajili mradi ndani au nje ya nchi na kupata vibali vya uwekezaji ndani ya siku tatu iwapo ametimiza vigezo.

“Awamu kwanza ya ujenzi wa mfumo huu imekamilika na imewezesha kuunganishwa kwa mifumo ya taasisi saba ambazo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA); Idara ya Uhamiaji; Idara ya Kazi; Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA); Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA); Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),” alisema.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu amezitaka taasisi na mamlaka za Serikali ziharakishe marekebisho ya sheria ambazo zinachangia urahisi wa kufanya biashara ili kuhakikisha kwamba sheria mpya zinawezesha mazingira bora ya biashara na uwekezaji.

“Suala hili liende sambamba na kuweka vipaumbele katika kutoa huduma kwa haraka, kwa ufanisi na kwa kukidhi viwango vya kimataifa. Mamlaka zinapaswa kuwa na mifumo rahisi ya kuwasiliana na wawekezaji na kuondoa vikwazo vilivyopo,” amesisitiza.

Alizitaka taasisi na mamlaka za Serikali ziongeze ushirikiano wa karibu na sekta binafsi kwani inaweza kutoa mawazo na mapendekezo yenye thamani kuhusu maboresho yanayohitajika. “Pia, wekeni  mipango ya kutoa mafunzo na huduma kwa wadau wa biashara ikiwa ni pamoja na uhamasishaji wa matumizi ya nyenzo mpya za usimamizi wa uwekezaji.”

Aliwataka wahakikishe jamii inashirikishwa katika michakato ya uboreshaji ili kupokea maoni yao na kwamba maamuzi yanayochukuliwa yanawiana na mahitaji yao. “Taasisi zote zinazohusika na mazingira ya biashara, zinapaswa kuwekeza katika mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ili kuboresha usimamizi wa uwekezaji, kupunguza urasimu na kuongeza uwazi,” alisisitiza Waziri Mkuu.

Ili kupima ufanisi wa maboresho yaliyofanyika na kubaini maeneo yanayohitaji marekebisho, Waziri Mkuu aliwataka washirikiane na wadau kuweka mifumo ya tathmini ya mara kwa mara. “Wekeni mkazo kwenye umuhimu wa kubadilisha mikakati na mbinu kulingana na tathmini za utekelezaji na maoni kutoka kwa wadau,” alisema.

Taarifa tano zilizozinduliwa jana ni pamoja na Taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji; Taarifa ya Taifa ya Uwekezaji kwa Mwaka 2023; Mwongozo wa Kitaifa wa Uendelezaji na Usimamizi wa Maeneo Maalum ya Kiuchumi (SEZ); Mfumo wa Kielektroniki wa Kuhudumia Wawekezaji Kwenye Maeneo Maalum  ya Kiuchumi na Mauzo ya Nje (EPZ); na Mpango Mkakati wa Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji kwa kipindi cha 2024/2025 – 2025/2026.

 

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki wa hafla hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo alisema kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI) maboresho ya kisera ya mazingira ya biashara na uwekezaji yamefanyika ikiwemo kufutwa kwa tozo na kodi zaidi ya 374 zilizobainishwa kuwa ni kero katika sekta za uwekezaji, viwanda, biashara, madini, kilimo, mifugo, uvuvi, maliasili na misitu.

About the author

Alex Sonna