Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO: WIZI WA KUCHEZEA VIPIMO NI KOSA KISHERIA

Written by Alex Sonna

 


Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA) wanaoshiriki Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Taswira hii ilichukuliwa siku ya ufunguzi rasmi wa Maonesho hayo, Septemba 10, 2024 uliofanywa na Mhe. Waziri akiwa ni Mgeni Rasmi.

Afisa Vipimo Mwandamizi Mkoa wa Mwanza, Lazaro Joram (kushoto) akitoa elimu ya vipimo kwa wadau waliotembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi Septemba 10, 2024 na yanatarajiwa kuhitimishwa Septemba 15, 2024.

Afisa Vipimo Mwandamizi Mkoa wa Mwanza, Lazaro Joram (kulia) akitoa elimu ya vipimo kwa wadau waliotembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi Septemba 10, 2024 na yanatarajiwa kuhitimishwa Septemba 15, 2024.

Na WMA, Mwanza

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amehimiza wananchi jijini Mwanza kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo kila mara wanapofanya manunuzi na kuuza bidhaa mbalimbali.

Aliyasema hayo Septemba 11, 2024 wakati akifungua rasmi Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza.

“Wizi wa kuchezea vipimo ni kosa kwa mujibu wa Sheria ya Vipimo Sura Na. 340 na hata vitabu vya dini vinakataza wizi wa vipimo,” alisisitiza.

Katika hatua nyingine, akizungumzia ushiriki wa Wakala wa Vipimo (WMA) katika Maonesho hayo, Afisa Vipimo Mwandamizi Mkoa wa Mwanza, Lazaro Joram alisema ni mwendelezo wa utoaji elimu kwa umma kuhusu matumizi sahihi ya vipimo kwa wafanyabiashara waliopo ndani ya Mkoa wa Mwanza pamoja na nchi jirani.

“WMA tunatumia Maonesho haya ili kuwawezesha wadau wetu kutambua majukumu yetu, kueleza umuhimu wa kuhakiki na kutumia vipimo sahihi na kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya matumizi ya vipimo pamoja na kuendelea kuwaelimisha kuhusu aina za vipimo vinavyopaswa kutumika katika biashara.”

Joram aliwakaribisha wananchi kutembelea Banda la WMA ili kufahamu aina za mizani wanazoweza kutumia katika sekta za kilimo, uvuvi, biashara na usafirishaji.

“Tunazo aina nyingi za mizani lakini siyo kila mzani unaruhusiwa kutumika katika biashara au katika sekta ya kilimo hivyo ukitembelea Banda letu tutakupa elimu ya kutambua mizani sahihi iliyohakikiwa pamoja na kutambua alama zinazowekwa katika vipimo vilivyo hakikiwa,” alisema.

Akidadavua kuhusu elimu inayotolewa kwa wananchi wanaotembelea Banda la WMA, Joram alisema eneo mojawapo ni kuhusu namna sahihi ya ufungashaji wa mazao ya shamba ambapo kwa mujibu wa Sheria ya Vipimo mazao yote yanatakiwa kufungashwa kwa uzito usiozidi kilogramu mia moja (100 kg) na endapo mkulima atafungasha mazao kwa uzito zaidi ya uliotajwa kisheria atakuwa amefungasha Lumbesa na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake.


“Kwa sasa tafsiri ya lumbesa ni uzito unaozidi kilo mia moja (100 kg) tofauti na awali ambapo ilikuwa inatafsiriwa kama kuongeza kifungashio juu ya gunia hivyo tunawahimiza wakulima kutumia mizani ili kujua uzito wa mazao wanayofungasha,” alisisitiza.

Akieleza zaidi, alisema kuwa, Kanda ya Ziwa kuna mazao ya kimkakati aina mbili ambayo ni Pamba na Kahawa ambapo jukumu la WMA ni kuhakiki mizani zote zinazotarajiwa kutumika kwenye ununuzi wa mazao hayo kabla ya msimu kuanza na baada ya kufanya uhakiki mizani iliyo sahihi huruhusiwa kutumika katika ununuzi wa mazao hayo.

Vilevile, alisema wakati wa ununuzi, WMA hufanya kaguzi za kushtukiza katika Vyama vya Ushirika vya Msingi (AMCOS) ili kujiridhisha kama mizani zinatumika kwa usahihi kama zilivyo hakikiwa ili kuwalinda wakulima.

Pamoja na majukumu mengine, WMA pia ina jukumu la kusimamia usahihi wa vipimo kwenye sekta ya usafirishaji ambao ni pamoja na usafiri wa anga, barabara na usafiri wa majini kwa kuhakikisha mizani zinazotumika ziko sahihi na zimehakikiwa ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza ikiwemo kubeba mizigo yenye uzito mkubwa ambayo inaweza kusababisha vyombo hivyo kuanguka na miundombinu kuharibika.

Kwa upande wake, Afisa Uhusiano Mwandamizi wa WMA anayeshiriki Maonesho hayo, Paulus Oluochi alitoa wito kwa wananchi kutembelea Banda la WMA ili kujifunza kuhusu matumizi sahihi ya vipimo lakini pia kuwasilisha changamoto mbalimbali kama zipo ili ziweze kupatiwa ufumbuzi.

Alisema endapo mwananchi yupo mbali, anaweza kuwasiliana na WMA kupitia nambari isiyo na malipo 0800 110097.

Maonesho hayo ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kufikia tamati Septemba 15, 2024.

About the author

Alex Sonna