slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

betwoon giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

tipobet

lunabet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

marsbahis

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

betasus

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

jojobet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

Hacklink panel

Casibom

matbet

madridbet

madridbet

Featured Kitaifa

MAJALIWA: SUALA LA MAZINGIRA LIWE AJENDA YA KITAIFA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano Maalum wa Viongozi , Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini,  kwenye  Kituo cha Mikutano cha  Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba  10, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

………

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema suala la uhifadhi wa mazingira liwe ajenda ya Kitaifa na jukumu la kila mmoja kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa.

“Na tunapokwenda kuhifadhi mazingira lazima tuanze na ngazi ya familia na tunapopanda juu tupanue wigo hadi kwa wadau mbalimbali. Viongozi wa dini mnayo nafasi kubwa na hii lazima iwe ajenda maalum, iwe ni ofisi za umma, za binafsi au kwenye taasisi.”

Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Septemba 10, 2024) wakati akifunga mkutano maalum wa viongozi na wadau wa mazingira ulioitishwa ili kujadili mwenendo wa mazingira nchini. Mkutano huo ulifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

Amesema kitendo hicho kitakuwa ni kuunga mkono juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuendelea kuimarisha uhifadhi na Usimamizi wa mazingira nchini, kazi aliyoifanya kwa weledi, ustadi na mafanikio tangu akiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Amemudu kusimamia na kutoa miongozo mahsusi ya kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa. Leo hii, yeye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na tunamuona anaendelea kulisimamia ili Taifa lifanikiwe katika uhifadhi wa mazingira kwa vizazi vya sasa na baadaye,” amesema.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwaeleza wajumbe wa mkutano huo juu ya jitihada ambazo Rais Dkt. Samia amekuwa akizichukua ili kuhakikisha suala la nishati safi linakubalika.

“Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuja na dhana mpya ya kukataa kukata miti na kutuhamasisha kuhusu nishati safi ya kupikia. Rais wetu amekuwa kinara wa nishati safi hadi na mwezi Mei alienda Ufaransa kuhutubia kuhusu nishati safi na yeye akiwa ni Mwenyekiti mwenza wa mkutano huo. Hii ni fahari kwa nchi yetu,” amesema.

Amesema Serikali imetoa fursa kwa wajasiriamali kuanzisha biashara ya kuuza mitungi na majiko ya gesi hadi kwenye ngazi ya vijiji ili nishati hiyo iweze kupatikana kwa urahisi. “Huko mbele tutaweka ukomo wa matumizi ya mkaa na kuni,” ameongeza.

Katika kukabiliana na changamoto za uchafuzi wa mazingira, Waziri Mkuu amesema Serikali imechukua hatua za kisera na kimkakati ili kuleta matokeo chanya. Amezitaja hatua hizo kuwa ni kuandaliwa kwa Sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021; Kutungwa kwa Sheria ya Mazingira ya mwaka 2014; kuandaa na kutekeleza Mpango Kabambe wa Taifa wa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira wa mwaka 2022 hadi 2032; kuandaa na kutekeleza Mkakati wa Kitaifa wa kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi wa mwaka 2021 hadi 2026; na kutungwa kwa Kanuni na Miongozo inayohusu masuala ya Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu ameitaka wizara inayosimamia mazingira ishirikiane kwa karibu na wizara za kisekta kuhakikisha maadhimisho mbalimbali ya Kitaifa yanayogusa masuala ya mazingira yanatumika kikamilifu kuwezesha jamii kupata uelewa na kuweka alama za kudumu na matokeo yanayopimika kuhusu utunzaji mazingira ikiwemo Siku ya Upandaji Miti, Siku ya Hali ya Hewa, Siku ya Maji, Siku ya ardhi Oevu, Siku ya Mazingira na Siku ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni.

Kuhusu kuimarisha utoaji wa elimu na uhamasishaji kuhusu utunzaji wa mazingira, Waziri Mkuu amezitaka Ofisi za Mikoa na Wilaya zisimamie suala hilo na kusisitiza kuhusu umuhimu wa kuzingatia sheria na kanuni za mazingira na ikibidi watumie mitandao ya kijamii kusambaza elimu hiyo.

“Kuongezeka kwa ufahamu miongoni mwa jamii kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa mazingira kutasaidia kupunguza uharibifu na kuimarisha usimamizi wa mazingira. Aidha, elimu ijumuishe matumizi endelevu ya rasilimali za mazingira ikiwemo matumizi bora ya ardhi, maji, na nishati ili kuhakikisha kuwa rasilimali hizi zinabaki kuwa za kudumu kwa vizazi vijavyo,” amesisitiza.

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi (OMR – Muungano na Mazingira), Dkt. Ashatu Kijaji alisema mkutano huo maalum ulihudhuriwa na washiriki 2,500 kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Zanzibar. “Ninauita huu ni mkutano mkuu maalum kwa sababu umehusisha makundi tofauti ya kijamii wakiwemo viongozi wa dini, wa kisiasa, wa kimila, wanafunzi, wabunge na wadau wengine.”

Alisema ofisi yake itafuatulia ukamilishajinwa rasimu ya Azimio la Dodoma hadi liwe Azimio kamili kwani linahitaji kufuata utaratibu wa Serikali hadi lije kuzinduliwa rasmi.

Akisoma azimio la Mkutano huo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt. Bashiru Kakuru. Baadhi ya maeneo yaliyotajwa ni usimamizi na mapitio ya sera na sheria hasa za misitu na uhifadhi; uwajibikaji na ushirikishwaji wa umma kupitia ugatuzi wa madaraka; usimamizi wa taka ngumu na usafi wa mazingira; upandaji wa miti, mabadiliko ya tabianchi na biashara ya kaboni; utoaji wa elimu kuhusu nishati safi; uchumi wa bluu, rasilmali fedha na elimu kwa umma kuhusu mazingira.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Watalaamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, Septemba 10, 2024. Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri, Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Kaspar Mmuya na wa tatu kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Wakamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Watalaamu na wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, Septemba 10, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine  wakipiga makofi  wakati Waziri Mkuu alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Wataalamu na wadau wa Mazingira Kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini, Septemba 10, 2024. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Ashatu Kijaji, wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais  Zanzibar, Mhe. Harusi  Said Suleiman, kulia ni Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhandisi Cyprian Luhemeja, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule , wa pili kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Shigeki Komatsubara  na wa pili kulia ni Mbunge wa Kalenga,  Jackson  Kiswaga . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano Maalum wa Viongozi , Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu Mwelekeo wa Mazingira Nchini,  kwenye  Kituo cha Mikutano cha  Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Septemba  10, 2024.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mha. Cyprian Luhemeja akiongea wakati wa kufunga Mkutano Maalumu wa Viongozi, Wataalamu na Wadau wa Mazingira kuhusu mwelekeo wa Mazingira Nchini ulioanza kufanyika Septemba 9,2024 na kumalizika Leo Septemba 10,2024 Katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC), Dodoma.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna