Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WIKI YA AZAKI KUHAMASISHA JAMII KUSHIRIKI DIRA 2050, UCHAGUZI

Written by Alex Sonna

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society FCS- Justice Rutenge, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Jijini Arusha, kuelekea ufunguzi wa Wiki ya Asasi za Kiraia – AZAKI, inayotarajiwa kuanza rasmi Septemba 9 – 13, 2024 Jijini humo.

Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Wiki ya AZAKI 2024, Nesia Mahenge, akitoa ufafanuzi wa baadhi ya mambo yatakayojadiliwa katika maadhimisho hayo yatakayofanyika kwa wiki moja Jijini Arusha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo.

PICHA NA; HUGHES DUGILO

Na; Mwandishi wetu, ARUSHA.

Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni yao kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya mambo yatakayojadiliwa kwa kina na kufikiwa maazimio ya kuhakikisha makundi hayo yanashiriki kikamilifu katika michakato hiyo.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society FCS- Justice Rutenge, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Jijini Arusha, ikiwa ni siku moja kuelekea kwenye ufunguzi rasmi wa Wiki ya Asasi za Kiraia – AZAKI, inayotarajiwa kuanza rasmi Septemba 9 – 13, 2024 Jijini humo.

Rutenge amesema kuwa Tanzania ipo kwenye michakato muhimu ya Kidemokrasia inayotoa fursa kwa wananchi kupaza sauti zao hasa kwa watu wanaoishi pembezoni kutoa maoni yao katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, na kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu, na uchanguzi mkuu wa 2025.

“Dira ni fursa muhimu sana, na safari hii lazima iaksi maoni, mawazo, matarajio na vipaumbele vya makundi mbalimbali ya wananchi wa Tanzania. Sisi kama AZAKI kwa pamoja tumeshatoa maoni yetu kwenye huu mchakato, na tunaamini kwamba yale yote tuliyoyapeleka yatazingatiwa“ amesema Rutenge.

Ameongeza kuwa katika wiki hiyo kutakuwa na wigo mpana wa ushiriki wa sekta mbalimbali ikiwemo serikali na binafsi, na kwamba kwa pamoja watajadili namna bora ya kushirikiana katika kuwaletea maendeleo wananchi na Taifa kwa ujumla.

Akizungumza katika mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKI ELIMU John Kallaghe, amesema kuwa katika wiki hiyo kutakuwepo na siku maalum waliyoiandaa inayohusu ushiriki wa vijana katika michakato ya kidemokrasia, lengo ni kutambua umuhimu wao kwenye michakato hiyo, na kuwapa fursa ya kujadiliana na kuona umuhimu wao katika kushiriki katika matukio ya kitaifa ikiwemo Dira 2050 na uchaguzi.

Naye Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Tanzania Bora Initiative – TBI, Ismail Biro, amesema kuwa kupitia njia za Kidijitali katika Wiki hiyo wanaamini sauti za vijana zitaangaziwa kwenye Dira ya Taifa 2050 na kupata fursa ya kuitekeleza kwa sababu ikifika 2050 wengi wao watakuwa watu wazima.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi Wiki ya AZAKI 2024, Nesia Mahenge, amesema wanatarajia kuwa na washiriki zaidi ya 600 kutoka katika AZAKI zaidi ya 400, na kwamba maandalizi yote yamekamalika,.

“Mgeni rasmi kwenye maadhimisho haya anatarajiwa kuwa Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ambaye atafungua mkutano huu. Na ufunguzi safari hii tutaufanya wa tofauti kidogo kwani hautakuwa wa kusoma risara bali utakuwa ni wa mazungumzo akiwa na rais wa FCS wakijadiliana mada mbalimbali zilizopo kwenye ratiba“ amesema Mahenge.

Maadhimisha hayo ya wiki hiyo yanatarajiwa kutoa fursa kwa Asasi za Kiraia kukutana, kufahamiana na kubadilishana uzoefu, wakijadili masuala mbalimbali yanayohusu AZAKI na mambo mengine ya Kitaifa ikiwemo Dira 2050, Uchaguzi wa Serikali za Mtaa wa 2024,na Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani..

About the author

Alex Sonna