Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WATAALAMU WA UNUNUZI NA MIPANGO WAAHIDI KUCHAPA KAZI KWA VITENDO

Written by Alex Sonna

Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Kusirie Swai, akizungumza wakati akifungua mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwanza.
Na: Josephine Majura, WF, Mwanza
Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango wameahidi kwenda kutekeleza kwa vitendo yote waliyojifunza kupitia mafunzo ya kuwajengea uwezo katika Sheria mpya ya Ununuzi, Sheria ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi na Matumizi sahihi ya Takwimu yaliyohusisha mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera yaliyofanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baada ya kupatiwa mafunzo hayo Afisa Mipango na Uratibu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Bw. Rogatevane Kipigapasi,  aliishukuru Serikali kwa kuwajengea uwezo kuhusu Sheria hizo kwa kuwa mafunzo hayo yatawaongezea uwezo na weledi katika kutekeleza majukumu yao.
“Kulikuwa na mada nzuri binafsi nimejifunza fursa zilizopo kupitia Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, marekebisho katika Sheria hii yanatoa fursa kwa wazawa kushiriki katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo”, alisema Bw. Kipigapasi.
Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Bi. Maria Ndohelo, alishauri  mafunzo hayo yawe endelevu kwa kutolewa mara kwa mara ili kuhakikisha Sheria, Kanuni na Taratibu zinajulikana vizuri kwa watumiaji wakuu wa Sheria hizo ili iwe rahisi wakati wa utekelezaji.
“Nina waasa Washiriki wenzangu wa mafunzo haya kwenda  kuyatumia vizuri tutakaporudi katika Vituo vyetu  vya kazi kwa kuwa Serikali ina matarajio makubwa kwetu sisi baada ya mafunzo haya”, alisema Bi. Ndohelo.
Alifafanua kuwa Serikali inawategemea kama wataalamu waliopewa dhamana katika kupanga Mipango ya Serikali na kusimamia Manunuzi mbalimbali ya Umma hivyo ni jukumu la kila mshiriki wa mafunzo kwenda kufanya kazi kwa weledi kama walivyoelekezwa katika mafunzo.
Mafunzo hayo yamewashirikisha Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango wa mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera yaliyofunguliwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Kusirie Swai katika ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Kusirie Swai, aliwataka Washiriki wa mafunzo kwenda kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu.
Bw. Swai alisema kuwa Serikali hutunga sheria ili kuhakikisha wanaotekeleza majukumu kwa niaba ya Serikali wanazifuata, ili kupata matokeo chanya yanayotarajiwa na Serikali.
Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi zake ikiwemo Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) wanaendelea kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Mipango nchi nzima katika mikoa ya Kikanda ikiwemo Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Kusini, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Magharibi.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Kusirie Swai, akizungumza wakati akifungua mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwanza.
Afisa Sheria Mkuu, Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha Bw. Paul Kimweri, akimshukuru Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Kusirie Swai (wakwanza kushoto) aliyekuwa mgeni rasmi baada ya kumaliza hotuba yake wakati wa Mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Bw. Alred Misana, ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwanza.
Meneja Huduma za Kanda, Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Juma Mkobya, akichangia mada wakati wa mkutano wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura  Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwanza.
Mtakwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Philemon Mwenda,  akichangia mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura  Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwanza.
Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Bw. Alfred Misana, akichangia mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura  Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Mwanza.
Meza Kuu ikiongozwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Kusirie Swai (katikati), kutoka kushoto ni Mtakwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Philemon Mwenda, Meneja Huduma za Kanda, Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Juma Mkobya kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Bw. Alfred Misana na Afisa Sheria Mkuu, Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha Bw. Paul Kimweri, wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha baada ya kumaliza mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Meza Kuu ikiongozwa na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Kusirie Swai (katikati), kutoka kushoto ni Mtakwimu, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Philemon Mwenda, Meneja Huduma za Kanda, Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Bw. Juma Mkobya kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Bw. Alfred Misana na Afisa Sheria Mkuu, Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha Bw. Paul Kimweri, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa  mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura  Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura Na. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.
Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera yakiendelea katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura  Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura Na. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Mwanza)

About the author

Alex Sonna