Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

TANESCO SHINYANGA YATOA ELIMU KWA WANANCHI WA VIJIJI VINAVYOPITIWA NA MRADI WA REA

Written by Alex Sonna

Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori akitoa elimu kuhusu usalama wa miundombinu ya umeme katika kijiji cha  Ishiki kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga limefanya ziara na kutoa elimu ya umeme kwa wananchi wanaoishi katika vijiji vilivyopitiwa na Mradi wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) awamu ya tatu mzunguko wa pili wilayani Kahama kwa kuwahamasisha wananchi kuvuta umeme kwenye nyumba zao na kulinda miundombinu ya umeme.

Ziara hiyo imefanyika leo Alhamisi Septemba 5,2024 katika Kijiji cha Ibulya na Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala na Kijiji cha Nduku kata ya Kinaga na Kijiji cha  Ishiki kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
 
Akizungumza wakati wa ziara hiyo, Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori amewataka wananchi kushirikiana na TANESCO kulinda miundombinu ya umeme ikiwemo Transfoma kwani miradi hiyo inatekelezwa kwa gharama kubwa.

Aidha amesema umeme ni maendeleo hivyo kuwasihi wananchi kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme ili isihujumiwe na kusababisha wakose umeme kwa ajili ya maendeleo yao na taifa kwa ujumla.
 
“Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan analeta fedha nyingi kwa ajili ya kufikisha umeme vijijini hakikisheni miundombinu ya umeme inalindwa usiku na mchana. Umeme ukishawaka unatakiwa uendelee kuwaka, tuwe macho tushirikiane kulinda hizi Transfoma, msizubae na kumwangalia tu mtu anapanda kwenye transfoma,hakikisheni Transfoma haiguswi, Transfoma ni mali yenu, muanze kutambuana, tumhoji yeye ni nani kwa sababu kwenye baadhi ya maeneo miundombinu inahujumiwa, mafuta yanaibiwa,Transfoma zinapigwa”,amesema Maisori.
 
“Pia Lindeni hizo mita, usihamishe mita ya umeme iliyopo kwenye nyumba yako na kupeleka kwenye nyumba nyingine, Hata kama mita ina jina lako hiyo ni mali ya TANESCO, ukihama iache hapo tutabadilisha jina na kama nyumba haitumiki tutachukua mita yetu na kama una nyumba nyingine basi utaomba mita nyingine na tutakupatia”,ameongeza Maisori.
 
Amewatahadharisha wananchi kuepuka vishoka kwa kufanya kazi na Ofisi ya TANESCO na malipo yote ya kuomba huduma ya umeme yafanywe kupitia namba ya kumbukumbu ya malipo (Control number) na kuweka mtandao wa umeme majumbani (wiring) kupitia Mkandarasi anayetambuliwa na TANESCO aliyeidhinishwa na kutambuliwa na EWURA na bodi ya Wakandarasi .

Kwa upande wake, Fundi Mchundo TANESCO wilaya ya Kahama, Denis Malewo amesema TANESCO kwa kushirikiana na REA linatekeleza mradi wa umeme vijijini ambao unawawezesha wananchi kuunganishiwa umeme kwa gharama nafuu ambapo wananchi waliopo ndani ya umbali wa mita 30 kutoka kwenye nguzo wataunganishiwa umeme kwa shilingi 27,000/= kwa umeme wa njia moja.
Fundi Mchundo TANESCO wilaya ya Kahama, Denis Malewo 
 
Amebainisha kuwa vijiji vilivyokuwa vimepatiwa nguzo 20 vitapatiwa nguzo 40 ili kuhakikisha kuwa huduma ya umeme inawafikia wananchi wengi zaidi.
 
Naye Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge amesema TANESCO imeboresha huduma za umeme ambapo hakuna gharama yoyote ya kuomba umeme na mwananchi anaomba huduma ya umeme hata akiwa nyumbani bila kufika ofisi za TANESCO akitumia mfumo wa Nikonekt ambao ni mfumo rahisi wa maombi ya huduma ya umeme kwa njia ya mtandao unaotumia njia tatu ikiwemo USSD kwa kupiga *152*00#, Web portal www.tanesco.co.tz na Mobile App ya Nikonekt.
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge
 
“Serikali inatumia fedha nyingi kuleta umeme vijijini, Mhe. Rais Dkt Samia anatumia fedha nyingi ili vijiji vipate huduma ya umeme naomba wale wote mliofikiwa na miundombinu ya umeme, vuteni umeme kwa sababu umeme ni maendeleo, umeme ni uchumi hivyo changamkieni fursa za umeme, nyumba zote zilizopo karibu na nguzo za umeme ziwe na umeme”,ameongeza Victory.
 
Kwa upande wake, Robert Msemo ambaye pia Afisa Uhusiano na Huduma kwa wateja TANESCO Shinyanga ametahadharisha wananchi kuepuka kukaa na kufanya shughuli chini ya transfoma ya umeme lakini pia wazazi wawalinde watoto dhidi ya umeme kwa kutoruhusu watoto kuchezea umeme.
Diwani wa kata ya Busangi Mhe. Alexander Mihayo
 
Diwani wa kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Mhe. Alexander Mihayo na Diwani wa kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mhe. Lucas Makulumo wamewahamasisha wananchi waliopitiwa na mradi wa umeme kuomba huduma ya umeme badala ya kuangalia tu nguzo za umeme zilizopita kwenye maeneo yao.
 
Nao wananchi wameishukuru TANESCO  kwa kupatia elimu kuhusu huduma za umeme na kuahidi kuingiza umeme majumbani mwao na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme na kuepuka vishoka ambao wamekuwa wakiwatapeli kwa kuwatoza fedha za kusogeza nguzo za umeme.
 
TAZAMA PICHA HAPA CHINI
Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori akitoa elimu kuhusu usalama wa miundombinu ya umeme katika kijiji cha  Ishiki kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Septemba 5,2024 . Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori akitoa elimu kuhusu usalama wa miundombinu ya umeme katika kijiji cha  Ishiki kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Diwani wa kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama Mhe. Lucas Makulumo akizungumza wakati wa mkutano huo
Fundi Mchundo TANESCO wilaya ya Kahama, Denis Malewo akitoa elimu ya umeme katika kijiji cha  Ishiki kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
 Afisa Uhusiano na Huduma kwa wateja TANESCO Shinyanga Robert Msemo akitoa elimu ya umeme katika kijiji cha  Ishiki kata ya Iyenze Halmashauri ya Manispaa ya Kahama
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge akitoa elimu kuhusu masuala ya umeme katika Kijiji cha Nduku kata ya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Fundi Mchundo TANESCO wilaya ya Kahama, Denis Malewo akitoa elimu kuhusu masuala ya umeme katika Kijiji cha Nduku kata ya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Mkutano ukiendelea katika Kijiji cha Nduku kata ya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama

Mkazi wa Kijiji cha Nduku kata ya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama akisoma kipeperushi cha namna ya kupata huduma ya huduma

Wakazi wa Kijiji cha Nduku kata ya Kinaga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama wakisoma vipeperushi vya namna ya kupata huduma ya huduma
Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori akitoa elimu kuhusu usalama wa miundombinu ya umeme katika Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala 

Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge akitoa elimu kuhusu masuala ya umeme katika Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala 

Wakazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala  wakiwa kwenye mkutano

Mkazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala akiuliza swali
Mkazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala akiuliza swali
Mkazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala akisoma kipeperushi

Wakazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala  wakiwa kwenye mkutano

Wakazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala  wakiwa kwenye mkutano
 Afisa Uhusiano na Huduma kwa wateja TANESCO Shinyanga Robert Msemo akigawa vipeperushi kwa Wakazi wa Kijiji cha Ibulya kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala 

Fundi Mchundo TANESCO wilaya ya Kahama, Denis Malewo akitoa elimu kuhusu masuala ya umeme katika kijiji cha Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Afisa Uhusiano na Huduma kwa wateja TANESCO Shinyanga Robert Msemo  akitoa elimu kuhusu masuala ya umeme katika kijiji cha Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Afisa Usalama TANESCO Mkoa wa Shinyanga, Paul Maisori  akitoa elimu kuhusu masuala ya umeme katika kijiji cha Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Wakazi wa kijiji cha Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala wakiwa kwenye mkutano
Mkazi wa kijiji cha Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala akiuliza swali

Mkazi wa kijiji cha Gulla kata ya Busangi Halmashauri ya Wilaya ya Msalala akisoma kipeperushi..
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
About the author

Alex Sonna