Featured Kimataifa

RAIS SAMIA AKIHUTUBIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI FOCAC NCHINI CHINA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.

About the author

mzalendo