Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

RAS – MOROGORO ASISITIZA UMUHIMU WA TAKWIMU

Written by mzalendo
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, akifungua Mkutano wa Kanda ya Pwani, uliyofanyika katika mkoa wa Morogoro, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya Fedha, ambapo umehusisha Wakuu wa vitengo vya Usimamizi na Ugavi, Wakuu wa Idara za Mipango, Sekretarieti za Mikoa na Halmashauri, baadhi ya watumishi wa Wizara ya Fedha, watumishi kutoka Ofisi ya Takwimu Tanzania, wawakilishi kutoka Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi pamoja na baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA).
 
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Kanda ya Pwani Bi. Vicky Mollel, akitoa ufafanuzi kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, kwa washiriki wa Mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wakati wa Mkutano wa Kikanda, Kanda ya Pwani uliyofanyika mkoani Morogoro.
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Kanda ya Pwani Bi. Vicky Mollel, akiteta jambo na Afisa Ugavi Mkuu, kutoka Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi. Fatuma Msantu, wakati wa mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, ambapo katika Kanda ya Pwani, mkutano huo umefanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Morogoro.
Mtakwimu Mkuu, kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Bw. Moris Mulilo, akitoa ufafanuzi kuhusu umuhimu wa Takwimu kwa washiriki wa mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakati wa mkutano huo Kanda ya Pwani uliyofanyika mkoani Morogoro.
Washiriki wa Mkutano wa Kikanda, Kanda ya Pwani, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wakifuatilia mkutano huo mkoani Morogoro.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maandalizi ya Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia (PPPC), Bw. Augustino Saibull, akizungumza wakati wa mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu,
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa (wapili kulia waliyoketi), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, wakwanza kulia ni Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Kanda ya Pwani Bi. Vicky Mollel, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya maandalizi na Uchambuzi wa Miradi, Kituo cha Ubia (PPP Center) Bw. Augustino Saibull (wakwanza kushoto), Afisa Ugavi Mkuu, Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha Bi. Fatuma Msantu (wapili kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya maandalizi na Uchambuzi wa Miradi, Kituo cha Ubia (PPP Center) pamoja na washiriki wengine, baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
Picha na Matukio mbalimbali katika Mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Kanda ya Pwani, uliyofanyika mkoani Morogoro ambapo mkutano huo unafanyika katika kanda zote hapa nchini ambapo kila kanda mkutano huo utafanyika katika mkoa mmoja na kujumuisha washiriki wa mikoa ya Kanda husika.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha – Morogoro)
Na Asia Singano, WF-Morogoro
 
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Mussa Ali Mussa, amewataka Watanzania kutumia Takwimu rasmi katika mipango na shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kupunguza athari zinazotokana na kufanya mipango ya maendeleo bila kuzingatia takwimu.
 
Dkt. Mussa aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa Kikanda, Kanda ya Pwani, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura No. 410, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Sura No 103 na matumizi ya Takwimu rasmi zinazozalishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu Kanda ya Pwani, uliyofanyika mkoani Morogoro.
 
Aliitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), kutoa kipaumbele kwa makundi maalumu ikiwemo vijana, wanawake, watu wenye ulemavu katika masuala ya Ununuzi wa Umma ili kuwainua na kuendelea kukuza uchumi.
 
“Ni vyema watu wa ununuzi waendelee kutoa fursa kwa makundi maalumu katika masuala ya ununuzi ikiwemo kuwaelimisha kuhusu fursa ziizopo katika ununuzi wa umma’’ Alisema Dkt. Mussa.
 
Kwa upande wake, Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) Kanda ya Pwani, Bi. Vicky Mollel, alisema katika sheria ya ununuzi wa umma namba 10 ya mwaka 2023, Serikali imeweka fursa nyingi kwa ajili ya watu na kampuni za ndani ikiwemo kutenga zabuni takribani bilioni 50 ili kuongeza kipato kwa wananchi na kukuza uchumi wa nchi.
 
“Fursa hizo ni pamoja na kutenga zabuni za mpaka bilioni 50 kwa ajili ya Watanzania, kwa kazi za ujenzi, ununuzi wa bidhaa pamoja na huduma mbalimbali, kampuni zetu za ndani zimepewa fursa ya kuungana na kampuni za Nje au kuingia ushirika na kampuni za Nje ili kujenga uwezo wa kufanya kazi na zitakuwa kampuni kiongozi’’ Alisema Bi. Vicky.
 
Naye Afisa Ugavi Mkuu, kutoka Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi. Fatuma Msantu, amewataka Wakuu wa Mipango pamoja na Wakuu wa Vitengo vya Ununuzi kufuata sheria za ununuzi wa Umma na kutumia mfumo mpya wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma (NeST).
 
“Na waachane na zile tabia za kutokutumia (NeST), ni muhimu, lazima waitumie ambapo pia itaweza kuwachukua hata wale wazalishaji wadogo ambao nao tunawahimiza waingie kwenye NeST ili waweze kuonekana wakati wazabuni wanapokwenda kwenye hizo zabuni zao’’ Alisema Bi.  Msantu.
 
Kabla ya Mikutano ya Kikanda inayoendelea kufanyika, ulianza mkutano kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta  Binafsi na Matumizi sahihi  ya Takwimu rasmi kwa Wakuu wa mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Waganga Wakuu wa Mikoa, na Waganga Wakuu wa Wilaya Jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi  alikuwa Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck nchemba (Mb).

About the author

mzalendo