Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA UMOJA WA MADIWANI CCM TANZANIA

Written by mzalendo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania walipofika Ikulu kwa mazungumzo, ukiongozwa na Katibu wa Umoja huo, Mhe. Hilda Augustino Kadunda (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum ya Saa ikiwa na picha yake, akikabidhiwa na Katibu wa Umoja wa Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Mhe. Hilda Augustino Kadunda, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania ukiongozwa na Katibu wa Umoja huo Mhe.Hilda Augustino Kadunda (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania ukiongozwa na Katibu wa Umoja huo Mhe.Hilda Augustino Kadunda (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendo