Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

galabet

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

güvenilir casino siteleri

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

imajbet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

caddebet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli

tipobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

caddebet, caddebet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

cratosroyalbet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

google

piabet

piabet

marsbahis

atlasbet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

casinoroyal

mercurecasino

sonbahis

esbet

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

betbey

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

casibom

vdcasino

mislibet giriş

hitbet

galabet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

monobahis, monobahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

golegol

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

jestbahis, jestbahis giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

REA YAWAPA TUZO WAKANDARASI WALIOFANYA VIZURI MIRADI YA PERI URBAN III

Written by mzalendo

 

Mgeni Rasmi wa hafla ya kutoa tuzo kwa Wakandarasi waliofanya vizuri, Mhe. Balozi na Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) akiwahutubia Menejimenti ya REA, Wakandarasi pamoja na Wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo katika ukumbi wa Julius Nyerere, Jijiji Dar es Salaam leo, tarehe 24 Agosti, 2024.

Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi, Hassani Saidy akitoa hotuba mbele ya Menejimenti ya REA, Wakandarasi pamoja na Wageni waalikwa wakati wa hafla ya katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere, Jijiji Dar es Salaam leo, tarehe 24 Agosti, 2024

………………

✳️Balozi Kingu ashauri Wakandarasi wazawa kufikiria kufanya Miradi nje ya nchi

✳️Mhandisi Hassan Saidy asisitiza REA itaendelea kuwaunga mkono Wakandarasi wanaofanya vizuri tu si vinginevyo

Wakala wa Nishati Vijijini (REA), leo tarehe 24 Agosti, 2024 imewapa tuzo na vyeti maalum Wakandarasi waliofanya vizuri kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) kote nchini ndani ya muda uliopangwa na kwa ubora unatakiwa.

Awali, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi, Hassan, Saidy alisema utendaji madhubuti (Performance) na kukamilisha Miradi ya PERI Urban III kwa wakati kumechangia Wakandarasi hao kupewa tuzo hizo.

“Kipekee, niwapongeze Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwasimamia Wakandarasi wazawa kwenye Miradi ya PERI Urban III na kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati. Natambua kuwa ninyi ndio mlio kuwa Washauri Elekezi wa mradi huu, hivyo mnao mchango mkubwa katika mafanikio haya”. Amekaririwa Mhandisi Saidy.

Mhandisi Hassan Saidy amesema kuwa REA iliahidi kuwa kwa sasa, itaanza kuwatunuku tuzo na vyeti kwa Wakandarasi wanaofanya vizuri kwenye usambazaji wa nishati ya umeme vijijini.

“Tuliahidi na sasa tumetimiza, tumeona hii ni njia nzuri ya kuwafanya waongeze nguvu, kwenye utekelezaji wa Miradi ya usambazaji wa nishati ya umeme vijijini, wale wanaofanya vizuri basi tuwatambue”. Amesisitiza Mkurugenzi Mkuu, Mhandisi, Hassan Saidy.

Naye, Mgeni Rasmi wa hafla hiyo, Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) Mhe. Balozi na Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu amewapongeza Wakandarasi hao kwa kumaliza kwa wakati na kwa ubora.

“Kumbukeni kuwa, juhudi zenu zina mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu, na kwa hivyo, endeleeni kujitolea kwa moyo ili kuhakikisha miradi yote, mliyopewa inakamilika kwa wakati.” Amesisitiza, Mhe. Balozi Kingu.

Naye Mkurugenzi wa Umeme Vijijini (DRE) kutoka REA, Mhandisi, Jones Olotu amesema hafla ya kuwapa tuzo Wandarasi hao umelenga kuwakumbusha na kuhusu wajibu wao wakati wa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa nishati vijijini pamoja kutambua juhudi zao kwenye maendeleo ya Sekta ya Nishati nchini.

Wakandarasi waliofanya vizuri na kutunukiwa tuzo na vyeti ni pamoja na kampuni kwanza ni ya DIEYNEM Co Ltd, kampuni ya pili ni DERM Group (T) Ltd, kampuni ya tatu ni Central Electricals & Electronics International Ltd na kampuni ya nne ni OK Electrical & Electronics Services Ltd, kampuni zote hizo ni za Watanzania.

Maeneo ya utekelezaji wa Miradi ya Kupeleka Umeme maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) sambamba na Wakandarasi hao ni kama ifuatavyo: – kampuni ya DIEYNEM Co Ltd (Lot 2, mkoani Kagera); kampuni ya DERM Group (T) Ltd (Lot 4, mkoa wa Mbeya & Lot 5, mkoa wa Mtwara); Central Electricals & Electronics International Ltd (Lot 6, mkoa wa Singida) na mwisho OK Electrical Services Ltd (Lot 7, mkoa wa Tabora na Lot 8, mkoa wa Tanga).

Naye Mwakilishi kutoka Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB); Mhandisi, Gloria Simbakali ameipongeza REA kwa kuwaalika ili kushiriki hafla hiyo lakini pia amepongeza kwa hatua ya utoaji wa tuzo kwa Wakandarasi waliofanya vizuri kwa jukumu moja wapo la CRB ni kuratibu zoezi la usimamizi pamoja na uwajibikaji (Performance) kwa Wakandarasi (Wanachama).

Akiongea kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO); Mhandisi, Robert Semsela ameipongeza REA kwa kutekeleza na kuendelea kuwafikia Wananchi wengi kupitia Miradi mbalimbali ya kusambaza umeme vijijini na kuongeza kuwa lengo ni kuboresha maisha ya Watu wa vijijini.

Naye, Mhandisi, Ridhuan Mringo, Mwenyekiti wa DERM Group ameipongeza Serikali kupitia REA kwa kutenga fedha za kutosha kwenye miradi ya kusambaza umeme vijijini mkubwa.

“Tunaishukuru Serikali kwa kuwa tunalipwa katika muda muhafaka kwa kila madai yetu ambayo ni halali na yamekidhi vigezo”. Alikaririwa, Mhandisi, Mringo.

About the author

mzalendo