slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

piabet

Featured Kitaifa

SERIKALI IMEOMBWA KUSIMAMIA UTOAJI MIKOPO YA HALMASHAURI

Written by mzalendo

 

Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Kimaro, akimkabidhi Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Vikundi vya Huduma Ndogo za Fedha Wilaya ya Liwale, Bw. Obadia Anania, flash ya filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba, uwekezaji walizofundishwa wananchi wa Wilaya ya Liwale waliofika kupata elimu ya fedha baada ya kumalizika kwa semina ya utoaji elimu kwa wananchi, Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Kimaro, akizungumza wakati wa semina ya utoaji elimu ya fedha kwa wananchi wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, ambapo mada mbalimbali zilifundishwa ikiwemo uwekezaji, mikopo na akiba.

Baadhi ya wananchi walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakisoma vipeperushi vyenye mada mbalimbali ikiwemo mikopo, akiba, uwekezaji zilizofundishwa wakati wa semina ya utoaji elimu ya fedha kwa wananchi wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

Baadhi ya wananchi walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakiangalia filamu yenye mada mbalimbali ikiwemo utunzaji wa akiba, mikopo, maandalizi ya kustaafu na nyinginezo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Wilaya ya Liwale mkoani Lindi.

Baadhi ya wananchi walioshiriki semina ya elimu ya fedha wakifuatilia mada mbailimbali zilizotolewa na Timu ya Wataalamu ya Wizara ya Fedha ambayo ipo mkoani Lindi kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali wakiwemo wafanayabiashara, watumishi na wanafunzi.

(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Lindi)

Na.Josephine Majula,WF-LINDI

Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeombwa kusimamia upatikanaji wa fedha na utoaji wa mikopo ya Halmashauri inayotolewa kwa ajili ya wanawake, vijana na watu wa makundi maalumu ili kuhakikisha inawafikia walengwa kama ilivyokusudiwa.

Ombi hilo limetolewa wilayani Liwale mkoani Lindi na Mwenyekiti wa Kikundi cha Tunaweza, Bi. Diana Venant, baada ya kumalizika kwa semina ya elimu ya fedha iliyotolewa na Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha ili waweze kuongeza mitaji ya biashara na kujikwamua kiuchumi.

“Serikali ikisimamia vizuri zoezi la utoaji mikopo kwa makundi yaliyokusudiwa itasaidia kupunguza tatizo la mikopo umiza ama kausha damu kwakuwa wananchi wengi wanakimbilia mikopo ya kausha damu kwa kuwa mikopo hiyo inapatikana kwa haraka bila kuwa na masharti mengi,’’ alisema Bi. Venant.

Aliongeza kuwa wananchi wengi hawana vigezo vya kwenda kukopa kwenye Taasisi rasmi za Fedha kwa kuwa wanahitajika kuwa na hati ya nyumba, hati ya kiwanja au kadi ya gari na kufanya wananchi hao kukosa sifa za kupata mikopo yenye riba ndogo ambayo inalipika kwa urahisi.

Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Jamii na Mratibu wa Vikundi vya Huduma Ndogo za Fedha Wilaya ya Liwale, Bw. Obadia Anania, aliipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali nchini.

“Elimu hii ni nzuri itasaidia kubadilisha maisha ya wananchi kupitia elimu hii tuliyoipata ambayo imegusa maeneo mbalimbali kama vile nidhamu ya matumizi ya fedha, kujiwekea akiba, kufanya uwekezaji na elimu ya mikopo, naamini kupitia elimu hii wananchi watabadilisha mtindo wa maisha”, alisema Bw. Anania.

Naye Afisa Msimamizi Mkuu wa Fedha, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Salim Kimaro alisema kuwa Wizara inaendelea na zoezi la utoaji elimu ya fedha ili kuhakikisha wananchi wote wanakua na uelewa mpana wa masuala ya fedha ikiwemo kuwa na mazoea ya kujiwekea akiba, kuwa na nidhamu ya matumizi lakini pia kutumia kulingana na bajeti yako.

“Katika utekelezaji wa programu ya utoaji elimu ya masuala ya fedha, Serikali inakusudia ifikapo mwaka 2025, takriban asilimia 80 ya wananchi wawe wamefikiwa na elimu hii na kuwa na uelewa wa masuala ya fedha,” alisema Bw. Kimaro.

Alisema hadi sasa mikoa 10 imefikiwa na Timu ya Wataalamu ya Wizara ya Fedha na kupatiwa elimu ya fedha ikiwemo Kagera, Manyara, Singida, Kigoma, Rukwa, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Mtwara na Lindi.

About the author

mzalendo