Featured Kitaifa

DIB YAJIPANGA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI MAONESHO YA NANE-NANE DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Meneja Uhusiano wa BoT, Vicky Msina (wa pili kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Romuli Mtui, wakati Meneja huyo alipotembelea Banda la Taasisi hiyo kweye maonesho ya Kimataifa ya Kilimo – Nane-nane, yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma. 

Bi. Beatrice Kallanga Afisa kutoka Bodi ya Bima ya Aman (DIB), akitoa elimu kwa mwananchi aliyetembelea Banda la Taasisi hiyo katika maonesho ya Nane-nane yanayoendelea kwenye viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. 

Meneja Uhusiano wa BoT, Vicky Msina (wa pili kushoto), akizungumza jambo na watuishi wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB), alipokuwa kwenye Banda lao kwenye maonesho ya Nane-nane Jijini Dodoma.

Watumishi wa Bodi ya Bima ya Amana (DIB)  wakiwa kwenye majukumu yao katika Maonesho ya (Nane-nane) yanayoendelea Jijini Dodoma. kutoka kushoto ni, Mhasibu Mwandamizi wa Taasisi hiyo, Romuli Mtui, kulia, ni Mkaguzi Mwandamizi Daudi Mwakalinga, na katikati ni Mhasibu wa Taasisi hiyo, Silvan Makole.

PICHA NA; HUGHES DUGILO

About the author

mzalendoeditor