Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA FEDHA KOREA

Written by mzalendo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-Finco) Bibi Eun Jae Lee Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-Finco) Bibi Eun Jae Lee pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-Finco) Bibi Eun Jae Lee mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2024.

About the author

mzalendo