Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MFUMO WA KUSAJILI MIGOGORO CMA UTAEPUSHA MALALAMIKO YA UCHELEWESHWAJI HAKI -MHE.  MAGANGA

Written by mzalendo

Katibu Mkuu, Ofisini ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Mary Maganga akizungumza na watumishi wa ofisi ya CMA kutoka mikoa mbalimbali Tanzania Bara kushoto ni Mkurugenzi wa CMA Usekelege Mpulla yaliyofanyika leo Jijini Dodoma. 

Mkurugenzi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) akizungumza na watumishi wa ofisi ya CMA kutoka mikoa mbalimbali Tanzania Bara wakati wa ufunguzi wa mafunzo maalum ya mfumo wa kusajili migogoro ya kikazi unaofahamika kama ‘Online Case Management’ kwa watumishi wa Tume hiyo yaliyofanyika leo Jijini Dodoma. 

Watumishi wa ofisi ya CMA kutoka mikoa mbalimbali Tanzania Bara wakati wa ufunguzi wa mafunzo maalum ya mfumo wa kusajili migogoro ya kikazi unaofahamika kama ‘Online Case Management’ kwa watumishi wa Tume hiyo yaliyofanyika leo Jijini Dodoma. 

Matukio ya picha za pamoja kutoka kwa Watumishi wa ofisi ya CMA kutoka mikoa mbalimbali Tanzania Bara wakati wa ufunguzi wa mafunzo maalum ya mfumo wa kusajili migogoro ya kikazi unaofahamika kama ‘Online Case Management’ kwa watumishi wa Tume hiyo yaliyofanyika leo Jijini Dodoma. 

Na Gideon Gregory, Dodoma.

Katibu Mkuu, Ofisini ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Mary Maganga amesema mfumo mpya wa kusajili migogoro ya kikazi kwa njia ya mtandao utaepusha malalamiko na ucheleweshwaji wa haki kwa Wananchi ikiwa ni Pamoja na kuongeza ufanisi wa utendaji wa Tume.

Mhe. Maganga ameyasema hayo leo,Julai 24,2024 Jijini Dodoma, wakati akifungua mafunzo maalum ya mfumo wa kusajili migogoro ya kikazi unaofahamika kama ‘Online Case Management’ kwa watumishi wa CMA kutoka Ofisi mbalimbali za mikoa Tanzania.

Vilevile Mhe. Maganga ameongeza kuwa,matumizi ya mifumo yanaongeza ufanisi wa utendaji kwa namna mbalimbali na pia uwezo wa kutumika katika mazingira mbalimbali bila kuhitaji kwenda katika ofisi husika kupata huduma.

“Mara nyingi tukiwa tunataka kuongeza ufanisi pa kwenda ni kwenye mifumo kwasababu mifumo unaweza kuitumia popote pale ulipo na bila kuhitaji kwenda kwa uhalisia kwahiyo tuna imani kubwa itaenda kuongeza ufanisi wa Tume yetu”, amesema Mhe. Maganga.

Aidha Mhe. maganga amewataka watumishi kuendelea kusimamia haki katika ajira na kazi kwa kuhakikisha wanatatua migogoro kwa njia ya usuluhishi kwani ndio wajimu wao kwa Tume.

Vilevile ameipoingeza Tume kwa kuendelea kusuluhisha migogoro ya kikazi hadi kufikia asilimia 76% ikiwa ni hatua nzuri kulingana na mpango mpango wa kuhakikisha wanafikia asilimia 81% kwa njia ya Usuluhishina hivyo kuonekana katika hatua inayoridhisha.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) Mhe. Usekelege Mpulla amesema mfumo huu unatarajiwa kutumika kutekeleza lengo la Tume ikiwa ni kuwafikia wadau mbalimbali kwa urahisi popote walipo.

“Kwa msingi huo tunatarajia kupitia mfumo huu tuweze kuwafikia wadau wetu na kusajili migogoro kwa kutumia, simu janja ili nasi tuweze kuishughulikia kwa haraka maana hili ni takwa na ombi la muda mrefu la wadau wetu hasa wawekezaji kutaka huduma za Tume ziende kwa haraka”, ameongeza mkurugenzi.

Naye Afisa Mfawidhi kutoka Ofisi ya CMA Arusha, Hermenegilda Stanslaus alisema mfumo huo utawasaidia watumishi wa Tume katika kutekeleza majukumu na kurahisisha utendaji kazi bila kuwalazimu wateja na wadau mbalimbali kufika ofisi za Tume.

About the author

mzalendo