Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

pusulabet

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE KUBADILISHA MAISHA YA WANANCHI WA KIBAKWE KWA KUJA NA MKAKATI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza leo na watumishi na wananchi wa Kijiji cha Idodoma, Kata ya Rudi iliyopo katika Jimbo la Kibakwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi.

……………….

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Kibakwe, Mhe. George Simbachawene amewataka wananchi wa Kibakwe kuendesha kilimo cha biashara kwa kutumia miundombinu ya umeme iliyopo huku akiwaahidi kuwaletea mradi mkubwa wa kimkakati wa umwagiliaji.

Mhe. Simbachawene ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Idodoma na Malolo, Jimbo la Kibakwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma ikiwa ni mwendelezo ziara yake ya kikazi katika Jimbo hilo.

Mhe. Simbachawene amesema kitendo cha umeme kufika katika vijiji hivyo kutaleta mapinduzi makubwa ambapo ni muda muafaka sasa wa kuhakikisha umeme huo unatumika kuendesha mashine ya kusukuma maji ya kumwagilia kwenye mashambani.

Amesema awali changamoto kubwa ilikuwa ni kilimo cha umwagiliaji cha kutumia nishati ya dizeli na petroli ambapo ilikuwa ni ngumu kuona tija kutokana na gharama kubwa ya nishati hiyo.

Ameongeza kuwa, umwagiliaji umekuwa duni kutokana na mifereji inayotumika kuwa ni ya kizamani na inachangia upotevu mkubwa wa maji.

“Tunataka mabadiliko makubwa katika jimbo letu, tunatamani kuona umeme tulionao unatupeleka mashambani na sio kuutumia tu kwa ajili ya kuwashia taa pekee majumbani mwetu” amesema Mhe. Simbachawene.

Amesema umeme huo utumike kusukuma maji ya kumwagilia usiku na mchana katika mashamba ya wananchi huku akisema miaka 10 ijayo anaviona vijiji hivyo vikiwa katika viwango vya juu kiuchumi.

Kwa upande wake Mkulima, Bwana Aidani Chihoma ametumia fursa hiyo kumshukuru Waziri Simbachawene kwa kupeleka umeme katika vijiji hivyo huku akisema ujio huo wa mradi huo wa umwagiliaji utasaidia kuona tija ya kilimo cha vitunguu na maharagwe.

Kijiji cha Idodoma na Malolo ni miongoni mwa vijiji katika Jimbo la Kibakwe vinavyosifika kwa kustawisha zaidi kilimo cha vitunguu na maharagwe ambapo uhitaji wa mazao hayo umekuwa mkubwa ndani na nje ya nchi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza leo na watumishi na wananchi wa Kijiji cha Idodoma, Kata ya Rudi iliyopo katika Jimbo la Kibakwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi.

Sehemu ya watumishi na wananchi wa Kijiji cha Malolo, Tarafa ya Rudi iliyopo katika Jimbo la Kibakwe, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Jijini Dodoma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene, wakati wa ziara yake ya kikazi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akifurahia kuruka kwa pamoja na kikundi cha burudani cha kabila la wamaasai katika Kijiji cha Idodoma wakati wa ziara yake ya kikazi.

Diwani wa Viti maalum Kata ya Rudi, Mhe. Dorisia Fweda akiwa na baadhi ya Madiwani wa Viti maalum wa Kibakwe  akizunguma na wananchi  mbele ya   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene kabla ya kumkaribisha kwa ajili ya kuzungumza na wananchi wa Kijiji cha Idodoma. 

Baadhi ya Madiwani wa vitu Maalum wakiwasalimia wananchi wa  Kijiji cha Malolo Kata ya Rudi iliyopo katika Jimbo la Kibakwe, Halmashauri ya  Wilaya ya Mpwapwa jijini Dodoma wakati wa ziara ya kikazi ya  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene.

 

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Mhe. Richard Maponda akiwa na baadhi ya Madiwani wa viti maalu wa Kibakwe Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakimsikiliza  wakati  akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Malolo, Kata ya Rudi iliyopo katika Jimbo.

 

 

About the author

Alex Sonna