marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

perabet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

Grandpashabet

türk ifşa

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

celtabet

jojobet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAHIMIZA ULINZI WA MAENEO TENGEFU NA HIFADHI YA BIOANUAIN

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele na kushoto ni Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira wa Baraza la Taifa na Hifadhi ya Mazingira (NEMC), Dkt. Menan Jangu.

Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira wa Baraza la Taifa na Hifadhi ya Mazingira (NEMC), Dkt. Menan Jangu akizungumza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji, Mkoani Pwani. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza Khamis.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis pamoja na Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Menan Jangu wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoani Pwani muda mfupi baada ya uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoani Pwani muda mfupi baada ya uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) wakati wa hafla iliyofanyika leo Ijumaa (Julai 19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani. Anayemwongoza ni Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele.

Baadhi ya wadau na wananchi wa Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani wakifuatilia shughuli za uzinduzi wa hifadhi hai ya Rufiji-Mafia-Kilwa (RUMAKI) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Wilayani humo leo Ijumaa (Julai 19, 2024).

(NA MPIGAPICHA WETU)

 …………..

SERIKALI imewataka wananchi na wadau katika Mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea kulinda maeneo tengefu na hifadhi ya bioanuai ili yaendelee kubaki na ubora na viwango vilivyoainishwa kitaifa na kimataifa.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Julai (19, 2024) Wilayani Rufiji Mkoani Pwani na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati alipokuwa akizindua hifadhi hai ya Rufiji- Mafia- Kibiti-Kilwa (RUMAKI).

Mhe. Khamis amesema mifumo ikolojia iliyopo katika Hifadhi Hai ni miongoni mwa bioanuai muhimu za Ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki inayohifadhi bioanuai nyingi na za kipekee zinazotambulika kitaifa na kimataifa.

”Tunapaswa kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kuwa Hifadhi Hai hii inabaki kuwa kwenye ubora na viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa vigezo vyetu vya ndani na vya UNESCO” amesema Khamis.

Ameongeza kuwa Hifadhi Hai ya RUMAKI ni kielelezo kizuri cha juhudi nyingi zilizofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo mashirika ya kimataifa kwa miaka mingi ambayo inaenda sambamba na dhamira na malengo ya uhifadhi maeneo tengefu, hifadhi ya malikale na bioanuai.

Aidha Mhe. Khamis amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali Kutayarisha mipango endelevu na shirikishi ya kulinda, kuhifadhi na kuendeleza hifadhi hiyo ili iendelee kubaki katika ubora wake.

Naibu Waziri Khamis amehimiza wananchi kujiepusha na uharibifu wa mazingira ikiwemouchomaji moto, ukataji misitu ikiwemo mikoko na uvuvi haramu na kuitaka NEMC kutumia mfumo maalum wa tahadhari za majanga ndani ya hifadhi hizo.

Amefafanua kuwa iwapo hifadhi hai ya RUMAKI itaendelea kulindwa na kuhifadhiwa kwa kuzingatia viwango na vigezo vya kitaifa na kimatifa itasaidia shughuli endelevu za kijamii, kiuchumi, kitalii na kimazingira na hivyo kubaki katika mtandao wa Hifadhi Hai Duniani.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Tafiti za Mazingira wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Menan Jangu amewapongeza wananchi wa Wilaya za Rufiji, Mafia na Kilwa kwa kuendelea kutunza mazingira juhudi ambazo zimeweza maeneo hayo kutambulika kimataifa.

Amesema NEMC itaendelea kuratibu masuala ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira kupitia kwa wananchi na taasisi mbalimbali na kuanisha maeneo yote yenye sifa na vigezo vya kutambulika kimataifa.

”Tunapokuwa na eneo la hifadhi hai lina sifa na malengo makuu matatu ambayo ni maendeleo endelevu, uhifadhi na utunzaji wa viumbe hai vinavyotunzwa kwa faida ya vizazi vya sasa na baadae” amesema Dkt. Menan.

Naye Mwakilishi kutoka Shirika la kimataifa la uhifadhi wa mazingira ulimwenguni (WWF), Bi. Joan Itanisa amesema ameishukuru Serikali kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Shirika hilo katika uendelezaji wa miradi ya uhifadhi na usimamizi wa mazingira nchini.

Ameongeza kuwa uzinduzi wa hifadhi hiyo ni moja ya ahadi zilizowekwa na Wakuu wa Nchi mbalimbali  duniani kuwa ifikapo mwaka 2030 asilimia 30 ya eneo la dunia iwe imehifadhiwa na kupongeza juhudi utayari wa Tanzania katika kutekeleza azimio hilo.

“Uzinduzi wa RUMAKI ni ishara kuwa Tanzania ipo mstari wa mbele katika kuwa kinara wa masuala ya uhifadhi…Tutaendelea kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha wananchi wanaozunguza hifadhi hizi wanapata manufaa kutokana na uhifadhi huu” amesema Itanisa.

About the author

Alex Sonna