Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AFUNGUA BARABARA YA SUMBAWANGA,MATAI-KASANGA (KM 107) MKOANI RUKWA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa kwa kiwango cha lami. Hafla ya ufunguzi wa barabara hiyo imefanyika katika eneo la Matai Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa tarehe 16 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Matai katika Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107), tarehe 16 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan akikagua Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.

Wananchi wa Matai, Kalambo Mkoani Rukwa wakiwa kwenye mkutano wa hadhara pamoja na hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Sumbawanga-Matai-Kasanga (km107) iliyojengwa na kukamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Matai tarehe 16 Julai, 2024.

About the author

mzalendo