Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

1xbet

maxwin, maxwin giriş

smartbahis

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

telegram ifşa

betewin

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat giriş

jojobet

tambet

ultrabet

mislibet

piabellacasino

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betpark

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

KAIMU KATIBU MKUU MITAWI AONGOZA KIKAO KAMATI TENDAJI MRADI WA EMA

Written by mzalendo

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi (mbele) akiongoza kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi (kulia) akiongoza kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Dustan Shimbo (katikati) akifurahia jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma.

Wajumbe wa kikao cha kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma.

Wajumbe wa kikao cha kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Immaculate Sware.

Wajumbe wa kikao cha kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) wakifuatilia majadiliano wakati wa kikao hicho kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma. Kulia ni Mratibu wa Mradi, Bw. Richard Masesa.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao hicho kilichofanyika katika Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Julai 15, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immacuate Sware.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi akifurahia jambo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Sweden, Bw. Steven Mwakifwamba muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) kilichofanyika katika Mji wa Serikali, Mtumba Jijini Dodoma.

(PICHA NA MPIGAPICHA WETU

Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) imekutana kwa ajili ya kupitia taarifa za utekelezaji wa mradi huo.

Katika kikao hicho cha nne kilichofanyika leo Jumatatu Julai 15, 2024 kimeongozwa na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi ambapo amesema mradi huo utaongeza uwezo wa kitaasisi katika kuimarisha uzingatiaji wa sheria na mifumo ya utekelezaji.

“Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira umekabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo upungufu wa rasilimali watu na rasilimali fedha katika utekelezaji, ufuatiliaji na tathmini ya rasilimali mazingira katika ngazi zote. Mradi huu umekuja na suluhisho la changamoto hizi” amesema Mitawi.

Wajumbe wa kikao hicho pia walipitia taarifa ya utekelezaji wa mradi kwa mwaka wa fedha 2023/24 pamoja na bajeti ya 2024/25, ambapo Mitawi amewahimiza kuusimamia vyema mradi katika utekelezaji wa sheria ya usimamizi wa mazingira

Pia wajumbe wa kikao hicho walipata fursa ya kuipitia taarifa ya mpango wa matumizi kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2023 na kukamilika Juni 2024 kama ulivyowasilishwa na Mratibu wa Mradi Bw. Richard Masesa.

Itakumbukwa kuwa Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imefanya jitihada kadhaa za kulinda na kuhifadhi mazingira ikiwa ni pamoja na kuweka Sera ya Kitaifa ya Mazingira (1997) pamoja na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (2004).

Mradi wa EMA unaofadhiliwa na Serikali ya Sweden kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Swedish (SIDA) unakusudia kushughulikia changamoto kuu za mazingira na kuondoa vizuizi vya kisekta vilivyopo katika Wizara na mamlaka maalumu za kisheria na kuongeza wigo wa utendaji.

Mradi wa EMA unatekelezwa na Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).

About the author

mzalendo