slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

DKT. KIJAJI ATAKA KASI UTOAJI VYETI VYA TATHIMINI YA MAZINGIRA

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Ofisi za
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024. Kulia ni Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe. Khamis Hamza Khamis na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

  Na Mwandishi Wetu.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji amelielekeza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuongeza kasi ya utoaji wa vyeti vya tathimini ya mazingira katika miradi inayotekelezwa nchini.

Dkt. Kijaji amesema hayo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake ya kutembelea Ofisi za NEMC kwa ajili ya kuzungumza na Menejimenti pamoja na kufahamu majukumu ya kisheria yanayosimamia Baraza hilo.

Amesema katika kipindi hiki, Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kujipambanua katika kufungua milango kwa wawekezaji wa miradi ya maendeleo nchini, juhudi ambazo zinahitaji kuungwa mkono kwa vitendo na taasisi zote za umma ikiwemo NEMC.

“Natambua mmeendelea kufanya kazi nzuri katika kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Mazingira Sura 191…Naomba hili la vyeti vya tathimini ya mazingira tuliangalia kwa jicho la kipekee ili kuwezesha utekelezaji wa miradi” amesema Dkt. Kijaji.

Aidha Waziri Kijaji amefafanua kuwa Ofisi yake ina imani na matumaini makubwa na watendaji wa Baraza hilo katika kuakisi maono ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika usimamizi na uhifadhi endelevu wa mazingira ili kulinda afya na maisha ya Watanzania.

Ameeleza kuwa NEMC inapaswa kuwa kiungo katika kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalamu wakati wa mchakato wa maombi ya vyeti vya tathimini ya mazingira kwa kuhakikisha waombaji wanapatiwa maelekezo ya namna bora ya kushughulikia kasoro na changamoto mbalimbali zinazojitokeza katika maeneo ya miradi.

“Tunapobaini kasoro au changamoto wakati wa maombi ya vyeti tutoe msaada wa haraka ili waombaji waweze kuzirekebisha na kutoa taarifa na kuwajulisha mapema na pia tusichukue muda mrefu kwa waombaji wakisubiri huduma hii” amesema Dkt. Kijaji.

Akifafanua zaidi Dkt. Kijaji amesema Watanzania wana imani na matumaini makubwa na Baraza hilo katika usimamizi endelevu wa mazingira na hivyo kuiwezesha Tanzania kuwa na jamii salama kwa mustakabali wa vizazi vya sasa na vijavyo.

Kwa upande wake, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali itaendelea kujenga mazingira wezeshi kwa Baraza hilo ikiwemo kusimamia mchakato wa mabadiliko ya muundo wa Baraza hilo ambao upo katika hatua nzuri.

Ameongeza kuwa Baraza hilo lina wataalamu wenye ujuzi, weledi na maarifa ya kitaaluma katika usimamizi na uhifadhi wa mazingira, hivyo utaalamu huo hauna budi kutumika vyema katika kubuni na kubaini miradi inayoweza kutoa suluhisho ya changamoto za uharibifu wa mazingira nchini.

“NEMC ina wasomi wazuri wenye fani mbalimbali ambao wakitumika vyema wataisaidia nchi kuweza kupiga hatua kubwa na pia kuandaa mipango itakayosaidia kupata majibu ya changamoto za uharibifu wa mazingira katika taifa letu” amesema Mhe. Khamis.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NEMC, Prof. Esnati Chaggu ameishukuru Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kuendelea kuiwezesha Bodi  kutekeleza vyema majukumu yake kupitia Mpango Kazi ulioandaliwa na menejimenti ya baraza hilo.

Amesema katika kuharakisha kasi ya utekelezaji wa majukumu, baraza limebuni mfumo ya kieletroniki kupitia TEHAMA ambapo huduma mbalimbali zinazotolewa katika mfumo huo ikiwemo vyeti vya tathimini ya mazingira na hivyo kurahisisha utendaji kazi.

Kuhusu usimamizi wa Sheria, Prof. Chaggu amesema baraza limeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria ya upigaji marufuku wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa kushirikiana na mamlaka mbalimbali za Serikali na sekta binafsi.

“Tunaishukuru Serikali kwa ushirikiano unaoipatia baraza..tunaahidi kuongeza kasi, weledi na maarifa zaidi katika kufanikisha utekelezaji wa majukumu ili tuweze kuleta tija iliyokusudiwa kwa kuzingatia maono ya Viongozi wetu” amesema Prof. Chaggu.

Aidha kwa upande Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Immaculate Sware amesema Baraza litaendelea kupokea na kutekeleza maelezo yanatolewa na Viongozi Wakuu wa Serikali katika kusimamia Sheria ya Mazingira Sura 191.

“Baraza limeendelea kufanya kazi kubwa…Tupo tayari kwa kazi na tutauwepo majini na ardhini kwani tuna wataalamu wenye weledi katika kutekeleza majukumu tuliyopewa” amesema Dkt. Sware.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis (wa pili kushoto), Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Prof. Esnat Chaggu wakibadilishana mawazo muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji katika Ofisi za NEMC Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akisalimiana na Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe. Khamis Hamza Khamis (katikati) muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware kuwasili katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake ya kikazi Julai 11, 2024.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024 kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware akimkakaribisha katika Ofisi za Baraza hilo, Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (mbele) wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Baraza hilo Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware (katikati) akimkakaribisha katika Ofisi za Baraza hilo, Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Baraza hilo Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NEMC, Prof. Esnat Chaggu.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware (katikati) akimkakaribisha katika Ofisi za Baraza hilo, Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (mbele) wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Baraza hilo Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024.

Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa akijitambulisha kwa Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa ziara ya Mhe. Waziri katika Ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Sarah Kibonde.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji akiwa pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Prof. Esnat Chaggu na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt. Immaculate Sware wakifuatilia Makala mjongeo kuhusu majukumu ya Baraza hilo wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Baraza hilo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) akiwa na Naibu Waziri wake, Mhe. Khamis Hamza Khamis wakifuatilia makala mjongeo kuhusu majukumu ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Baraza hilo Julai 11, 2024 Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Prof. Esnat Chaggu akizungumza jambo wakati wa ziara ya Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) katika ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024. Kulia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Khamis Hamza Khamis.

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bw. Abdallah Hassan Mitawi akizungumza  jambo wakati wa ziara ya Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) katika ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024. Kulia ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Khamis Hamza Khamis.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza jambo wakati wa ziara ya Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) katika ofisi za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Jijini Dar es Salaam Julai 11, 2024. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu  Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji akiwa (katikati), Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Mhe. Khamis Hamza Khamis (kushoto) na Kaimu Katibu Mkuu, Bw. Abdallah Mitawi (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi na watendaji wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Ofisi hiyo Julai 11, 2024.

About the author

mzalendo