Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU WA IDARA YA USALAMA WA TAIFA

Written by mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2024.

About the author

mzalendo