slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

hardcore porn

escort sapanca

holiganbet

jojobet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

holiganbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Kingroyal

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

pusulabet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

parobet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

jojobet

celtabet

bets10

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

kumar siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

otobet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

elexbet

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

tarafbet

güvenilir kumar siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

nesinecasino

ibizabet

jojobet

betexper

nesinecasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

betexper

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

galabet

galabet

ilbet

ilbet giriş

nakitbahis

marsbahis

marsbahis

Featured Kitaifa

WAZIRI KIJAJI ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UFUATILIAJI WA KABONI.

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya katika Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Biashara ya Kaboni (NCMC) kilichapo Mkoani Morogoro leo Jumanne (Julai 9, 2024). Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi na kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Maulid Mwatawala.

(PICHA NA MPIGAPICHA WETU)

……

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamun wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji amezitaka Taasisi za Elimu ya Juu nchini kuandaa na kuzalisha wataalamu watakaosaidia kubuni na kubaini fursa zitokanazo na uhifadhi wa mazingira ikiwemo biashara ya kaboni.

Dkt. Kijaji amesema hayo leo Jumanne (Julai 9, 2024) Mkoani Morogoro wakati wa ziara yake ya kikazi ya kutembelea Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni kwa ajili ya kujitambulisha na kufahamu majukumu mbalimbali ya kiutendaji ya kituo hicho.

Amesema suala la uhifadhi wa mazingira kwa sasa limepata mwitikio na mwamko mkubwa kutoka kwa wananchi walio wengi, hivyo nafasi hiyo haina budi kutumika vyema na wataalamu kubuni mbinu rafiki na wezeshi zenye kuibua zilizopo katika upandaji miti na uhifadhi wa misitu. 

“Ushirikiano baina ya Serikali na taasisi za elimu ya juu ni muhimu kwani itahamasisha wananchi kuhifadhi mazingira, tuandae wataalamu kuanzia ngazi ya cheti ili kuwaelimisha wananchi manufaa na faida za upandaji miti na utunzaji wa misitu” amesema Dkt. Kijaji.

Aidha Dkt. Kijaji amesema elimu ya uhifadhi wa mazingira ikitolewa kwa wananchi itasaidia katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi ikiwemo kilimo, mifugo, uvuvi n.k kwa kuwa shughuli hizo zitaendeshwa kwa kuzingatia miongozo ya kitalaamu na kuwaletea faida.

Ameongeza kuwa wakati umefika kwa wataalamu kujitokeza na kuandaa mikakati ya pamoja itakayosaidia wananchi kunufaika na fursa mbalimbali zitokanazo na rasimali na sekta za misitu na mazingira ikiwemo uwepo biashara ya kaboni ambayo kwa kiwango kikubwa inatokana na upandaji miti.

“Tuwaelimishe wananchi ili waone manufaa ya upandaji miti kwa kuhakikisha wanaachana na shughuli zisizo endelevu kwa mazingira ikiwemo ukataji miti kwa ajili ya kuni…Juhudi za pamoja zinahitajika ili wananchi waweze kunufaika na uhifadhi wa mazingira hususani biashara ya kaboni” amesema Dkt. Kijaji.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni, Prof. Eliakimu Zahabu amesema biashara ya kaboni ni mfumo uliopo katika soko la dunia unaohusisha upandaji na utunzaji wa miti inayodhibiti uzalishaji wa hewa ukaa katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, nishati, viwanda, na miundombinu.

“Katika kukabiliana na mabadiliko tabianchi, Dunia imeiona haja ya kuendesha biashara ya kaboni..Tumeendelea kutoa elimu kwa jamii na tumeshuhudia wananchi wa Halmashauri mbalimbali nchini wakipata faida ikiwemo miradi ya maendeleo na fedha” amesema Prof. Zahabu.

Naye Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Kemilembe Mutasa amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa zilizoridhia Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi unaosisitiza umuhimu wa kuweka wa jitihada za pamoja za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Ameongeza kuwa jitihada hizo zimeibua changamoto na fursa mbalimbali zinazosaidia kuchochea shughuli endelevu za uhifadhi wa mazingira ikiwemo uratibu wa biashara ya Kaboni ambayo inalenga kupunguza uzalishaji wa gesijoto duniani.

“Katika kuhakikisha changamoto za mabadiliko ya tabianchi zinakuwa na manufaa na matokeo chanya, Serikali imechukua hatua mbalimbali ikiwa ni pamoja kufanya mapitio ya sera, uandaaji wa kanuni, mikakati na miongozo inayolenga kuweka mazingira rafiki ya usimamizi wa mazingira” amesema Kemilembe.

Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Watalaamu mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Sokoino cha Kilimo (SUA), baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais na Watendaji Waandamizi wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (mbele) akifurahia jambo na Viongozi mbalimbali wa Ofisi hiyo akiwemo Mkurugenzi wa Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) Prof. Eliakimu Zahabu (kushoto) na Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi wa pili (kushoto) muda mfupi baada ya kuwasili katika Ofisi za Kituo cha NCMC zilizopo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) leo Jumanne (Julai 9, 2024) Mkoani Morogoro.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (mbele) akisaini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kupokelewa na mwenyeji wake, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Maulid Mwatawala (hayupo pichani) Chuoni hapo leo (Julai 9, 2024) Mkoani Morogoro. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi .

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Ashatu Kijaji (kulia) akizungumza jambo wakati wa kujitambulisha kwake kwa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) wakati wa ziara yake ya kutembelea Kituo cha Taifa cha Biashara ya Kaboni (NCMC) leo Jumanne (Julai 9, 2024) Mkoani Morogoro. Katikati ni Naibu Makamu Mkuu wa SUA, Prof. Maulid Mwatawala na kushoto ni Mkurugenzi wa Kituo cha NCMC, Prof. Eliakimu Zahabu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Ashatu Kijaji (kulia) akizungumza jambo wakati wa kujitambulisha kwake kwa Uongozi wa wakati wa ziara yake ya kutembelea Kituo cha Taifa cha Biashara ya Kaboni (NCMC) leo Jumanne (Julai 9, 2024) Mkoani Morogoro. Kushoto ni Makamu Mkuu wa SUA, Prof. Maulid Mwatawala.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Prof. Maulid Mwatawala (kushoto) akizungumza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Ashatu Kijaji (kulia) akizungumza jambo wakati wa ziara ya Mhe. Kijaji kutembelea Kituo cha Taifa cha Biashara ya Kaboni (NCMC) leo Jumanne (Julai 9, 2024) Mkoani Morogoro.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ashatu Kijaji akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Makamu MkuU wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Maulid Mwatawala muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao baina yao Chuo hapo leo Jumanne (Julai 8, 2024) wakati wa ziara yake ya kutembelea Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC). Wa kwanza kulia ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kulia) akizungumza jambo na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Maulid Mwatawala muda mfupi baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao Chuo hapo leo Jumanne (Julai 8, 2024) wakati wa ziara yake ya kutembelea Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC).

Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Abdallah Hassan Mitawi akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa maelezo ya awali kuhusu kituo cha taifa cha ufuatiliaji wa kaboni kwa Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) wakati wa ziara yake katika kituo hicho. Kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Maulid Mwatawala.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Maulid Mwatawala akizungumza jambo wakati wa ziara ya Mhe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Ashatu Kijaji (katikati) katika Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji wa Kaboni (NCMC) leo Jumanne (Julai 9, 2024)

(PICHA NA MPIGAPICHA WETU)

About the author

Alex Sonna