Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

grandpashabet

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AZINDUA HOSPITALI YA RUFAA YA TOSAMAGANGA

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Askofu wa Jimbo Katoliki  la Iringa , Tarcisius Ngalalekumtwa wakizundua  huduma ya mionzi  (CT SCAN) katika hospitali ya  Rufaa ngazi ya Tosamaganga mkoani Iringa, Julai 6, 2024. Kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, wa pili kulia ni Mkurugenzi wa hospital hiyo,  Padri Benjamin  Mfaume na kulia ni Mbunge wa kalenga, Jacksoni Kiswaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……..

Azipongeza taasisi za dini kwa kuendelea kutoa huduma za kijamii

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezipongeza taasisi za dini likiwemo Kanisa Katoliki kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutoa huduma mbalimbali za kijamii kwa wananchi.

Amesema kuwa kitendo cha Kanisa Katoliki cha kuamua kuipandisha hadhi Hospitali ya Tosamaganga na kuwa Hospitali ya Rufaa kwa ngazi ya Mkoa ni cha kishujaa kwani kitaufaanya mkoa wa Iringa kuwa na hospitali mbili za rufaa na hatimaye kupunguza adha kwa wakazi wa mkoa huo kusafiri kwenda mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma kufuata huduma za kibingwa.

Ametoa pongezi hizo leo (Jumamosi, Julai 06, 2024) mara baada ya kuzindua hospitali ya rufaa ya Tosamaganga ngazi ya Mkoa pamoja na huduma za mionzi kwenye hospitali hiyo, iliyopo wilayani Iringa, mkoani Iringa.

Waziri Mkuu ambaye yuko mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku nne, amesema kuwa uamuzi wa kuipandisha hadhi hospitali hiyo ni kuunga mkono jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za afya karibu na maeneo yao.

“Dhamira ya Rais Dkt. Samia ni kuwatumikia wananchi kwa kuhakikisha sekta ya afya inafika kila mahali ikiwemo kujenga hospitali kwenye kila Halmashauri. Watanzania endeleeni kuwa na imani Serikali yenu, nasi tutaendelea kuwahudumia ipasavyo.”

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, Dkt. Benjamin Mfaume ameishukuru Serikali kwa misaada ya hali na mali inayotolewa kwenye hospitali hiyo ili kuiwezesha kutoa huduma bora kwa Watanzania.

“Katika mwaka 2022/2023, Serikali ilitoa shilingi bilioni 2.2 zikiwa ni mishahara ya wafanyakazi, dawa kupitia MSD na Basket Fund kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na “OC” kupitia Serikali Kuu na hadi sasa Serikali bado inaendelea kufanya hivyo,” alisema.

Alisema hospitali hiyo, inahudumia wagonjwa kati ya 62,000 hadi 78,000 kwa mwaka ikiwa ni wastani wa wagonjwa 7,000 hadi 8,000 kwa mwezi huku idadi kubwa ikiwa ni ya akinamama wajawazito na watoto.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Hospitali ya Rufaa ngazi ya Mkoa  ya Tosamaganga mkoani Iringa, Julai 6, 2024. Wa pili kulia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa,  Tarcisius Ngalalekumtwa, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba na kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Padri Benjamin Mfaume. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Askofu wa Jimbo Katoliki  la Iringa , Tarcisius Ngalalekumtwa wakizundua  huduma ya mionzi  (CT SCAN) katika hospitali ya  Rufaa ngazi ya Tosamaganga mkoani Iringa, Julai 6, 2024. Kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba, wa pili kulia ni Mkurugenzi wa hospital hiyo,  Padri Benjamin  Mfaume na kulia ni Mbunge wa kalenga, Jacksoni Kiswaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashinę ya mionzi (CT SCAN) kabla ya kuzindua huduma ya mionzi katika hospitali ya  Rufaa ngazi ya Mkoa ya Tosamaganga mkoani Iringa, Julai 6, 2024. Kushoto kwake  ni Askofu wa Jimbo Katoliki  la Iringa, Mhashamu Tarsisus Nalekumtwa , kulia kwake ni Mkurugenzi wa hospital hiyo, Padri Benjamin Mafaume na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter Serukamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo