Featured Kitaifa

MHE. ABDULLA KWENYE KILELE CHA MAADHIMISHO YA MWAKA MPYA WA KIISLAMU

Written by mzalendo


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali na waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt. Hussen Ali Mwinyi katika Kilele cha Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislam (1446 H) kilichofanyika Masjid Jamiu Zenjibar Mazizini Zanzibar.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
06.07.2024.

About the author

mzalendo