slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

new unblocked games

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

hardcore porn

escort sapanca

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

palacebet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Kingroyal

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

betmoney

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

casibom

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

casibom giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

betmoney giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

kumar siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

otobet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

betmoney

tarafbet

güvenilir kumar siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

betplay

cashwin

cratosroyalbet

casinomilyon

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casinoroyal

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

Featured Kitaifa

OFISI YA MAKAMU WA RAIS, IUCN NA UNEP KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI

Written by mzalendo

Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR), Dkt. Damas Mapunda (kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mradi Juni 26, 2024 Jijini Mbeya. Anayesikiliza ni Kaimu Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Thomas Chali.

Afisa Tathimini na Ufuatiliaji wa Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Frank Mtosho (kushoto) akijadiliana jambo na Maafisa Viungo wa Mradi katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wakati wa kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa shughuli za mradi kwa mwaka 2024 wakati wa kikao hicho Juni 26, 2024 Jijini Mbeya.

Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) wakifuatilia uwasilishaji wa taarifa mbalimbali kuhusu Mradi huo Juni 26, 2024 Jijini Mbeya.

Afisa Mipango kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya Bw. Anyagile Mwanyamaki akizungumza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) kwa mwaka 2024 Juni 26, 2024 Jijini Mbeya.

Afisa Kiungo katika Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR), katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Rukwa, Bw. Ephraim Luhwago akizungumza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mradi kwa mwaka 2024 Juni 26, 2024 Jijini Mbeya.

Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani (Rukwa), Bw. January Kazoba akizungumza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) Juni 26, 2024 wakati wa kikao kazi hicho kinachoendelea Jijini Mbeya.

Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) wakifuatilia uwasilishaji wa taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli za mradi Juni 25, 2024) wakati wa kikao kazi hicho kinachoendelea Jijini Mbeya.

Afisa Mazingira wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Golyama Bahati akizungumza jambo wakati wa kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) kwa mwaka 2024 Juni 26, 2024 Jijini Mbeya.

Mshauri wa Kiufundi kutoka Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN), Bw. Doyi Mazenzele akiwasilisha mada Mpango wa mafunzo ya Ujasiriamali katika halmashauri zinazotekeleza Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR) wakati wa kikao kazi cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za mradi kwa mwaka 2024 Juni 26, 2024 Jijini Mbeya.

(NA MPIGAPICHA WETU)

Na Mwandishi Wetu,Mbeya,

Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) inatarajia kuendesha programu ya mafunzo ya ujasiriamali kwa wajasiriamali 50 waliopo katika Halmashauri saba zinazotekeleza Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR).

Mafunzo hayo ya mfumo wa kidijitali yatahusisha shughuli za wajasiriamali zinazohamasisha urejeshaji wa mifumo ya ekolojia asilia na hifadhi ya mazingira zinazolenga kuwaongeza kipato kupitia fursa za biashara.

Akizungumza katika kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa shughuli za mradi kwa mwaka 2024 Juni 26, 2024, Mratibu wa Kitaifa wa Mradi wa SLR, Dkt. Damas Mapunda amesema mafunzo pia yatasimamiwa kwa karibu na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN), Shirika la Anza Tanzania na Shirika la Bridge for Billions.

Dkt. Mapunda amesema mafunzo hayo yamekusudia kuwajengea uwezo wananchi wanaozunguka maeneo ya mradi kuweza kuibua fursa za biashara na ujasiriamali, ushauri wa kitaalamu na ufadhili wa miradi mbalimbali itakayoibuliwa na vikundi vya kijamii. 

Amefafanua kuwa walengwa wa programu hiyo ni wajasiriamali wanaofanya shughuli endelevu za uhifadhi wa mazingira katika Bonde la Ruaha Mkuu na Ziwa Rukwa ikihusisha Halmashauri za Wilaya ya Iringa, Mbarali, Mbeya, Mpwimbwe, Tanganyika, Wanging’ombe na Sumbawanga.

“Programu hii ni fursa nyingine iliyopo ndani ya mradi unaotekelezwa katika Mataifa 10 Duniani mradi…Timu ya wataalamu wezeshi imeanza ziara katika Halmashauri husika, nawasihi maafisa maendeleo ya jamii kutoa elimu kwa vikundi mbalimbali ili viweze kuchangamkia fursa hii” amesema Dkt. Mapunda.

Aidha ameongeza kuwa mafunzo hayo yatagusa shughuli wezeshi za uhifadhi wa mazingira ikiwemo uchakataji wa mazao ya misitu, ulinzi wa vyanzo vya maji, utalii wa mazingira, vitalu vya miti, ufugaji, kilimo, watengenzaji wa majiko na nishati safi pamoja na mkaa mbadala.

Kwa mujibu wa Dkt. Mapunda amesema kupitia mafunzo hayo, wananchi waliopo katika Halmashauri husika wataweza kuanzisha miradi ya endelevu ya kibiashara inayostahimili mazingira na kuchochea urejeshaji endelevu wa mifumo ikolojia ndani ya maeneo ya mradi.

Kwa upande wake, Mshauri wa Kiufundi kutoka Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN), Bw. Doyi Mazenzele akiwasilisha mada katika kikao hicho, amesema programu hiyo imelenga kuwawezesha wananchi waliopo katika maeneo ya mradi kuweza kuibua mawazo ya biashara na miradi kwa ajili ya kujiongezea kipato katika ngazi ya kaya na familia.

Ameongeza kuwa mafunzo hayo yanaendeshwa katika kipindi cha muda wa miezi sita kuanzia Julai 2024 hadi Februari 2025 na kuwataka wananchi waliopo katika Mikoa na Halmashauri zinazotekeleza mradi kujitokeza ili kuchangamkia fursa hiyo.

“Mafunzo haya yakikamilika mnufaika anatarajia kupatiwa kiasi cha Dola 5000 kwa ajili ya kuanza biashara kupitia miradi iliyoanishwa katika mafunzo yatakatolewa kati ya wiki 6-8 na wanufaika watapatiwa kompyuta mpakato kwa ajili mafunzo” amesema Mazenzele.

Aidha Mazenzele amesema katika kurasimisha mafunzo hayo, Ofisi yake tayari imefanya mawasiliano na Taasisi za Serikali zinazosimamia mafunzo ya wajisiriamali ikiwemo Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) ili kuhakikisha mafunzo hayo yanatambulika katika ngazi mbalimbali.

Mradi wa SLR unaogharimu zaidi ya Shilingi bilioni 25.8 unafadhiliwa na Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF) kupitia Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) na kusimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Utekelezaji wa mradi huo wa miaka mitano unaotarajia kukamilika mwaka 2025, ulianza mwaka 2021 ukihusisha jumla ya Mikoa mitano, Halmashauri saba, Kata 18 na vijiji 54.

Halmashauri za Wilaya zinazonufaika na mradi huo ni Iringa Vijijini, Wanging’ombe, Mbeya Mbarali, Sumbawanga, na Mpimbwe.

About the author

mzalendo