Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

sekabet

marsbahis

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

pokerklas

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

TUJENGE DESTURI YA KULIPA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA LETU

Written by Alex Sonna

 

John Francis Haule
 
Tukiwa tunaelekea kupokea bajeti mpya ya serikali ya 2024/2025 ikijadiliwa bungeni kwa mujibu wa sharia,pia nasi katika jamii tukieendelea kuifatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa sio kwa kuwa ni wanasiasa “la hasha” bali ni kwa kuwa bajeti ndiyo taswira na mwelekeo wa uchumi wanchi kwa kipindi cha mwaka.
 
Tumeshudia katika bajeti hii kwa kiasi kikubwa inategemea mapato ya ndani kwa 70% na hii inathibitisha ile falsafa ya kujitegemea(self reliant) kama taifa limefika hatua nzuri kama ilivyo bainishwa katika misingi ya azimio la Arusha 1967 moja kati ya misingi yake ni kujitegemea (self reliant)
 
Kwa msingi huo wa kuanza kujitegemea kama taifa hili ni jambo la kujivunia kama taifa tumepiga hatua nzuri nahii ni matunda ya utekelezaji wa ilani na sera za Chama Cha Mapinduzi tukizingatia falsafa isemayo uhuru wa kweli ni kuwa huru kiuchumi.
 
WAJIBU WA MWANANCHI
 
Kwa kuwa serikali imethibitisha kuwa dhana yakujitegemea au taifa kutegemea mapato ya ndani ya kikodi na ushuru pamoja na mikopo ya ndani ya nchi hivyo sisi wananchi hatuna budi kuunga mkono serikali kwa kulipa kodi ya mapato na ushuru bila shuruti ili kutegemeza Serikali kutekeleza miradi ya kiuchumi,kimkakati na kijamii.
 
Kwanza jamii ifahamu kuwa kila mtanzania ana shiriki katika kulipa kodi yaani direct tax na indirect tax.
 
Pia Watumishi wa umma wote ni walipa kodi kwa maana kwamba kupitia mishahara yao wana katwa kodi kwa mujibu wa sharia,Nimesema ivi ili kuondoa dhana kwamba walipa kodi ni wafananya biashara hio dhani ni potofu hivyo kila mtanzania anashiriki kulipa kodi kwa mujibu wa utaratibu.
 
Mfano unapo nunua yeyote kama vile soda unakua umelipa kodi ,kiberiti ete.
 
Hivyo hii dhana kuwa wafanya bishaashara wana mkururu wa kodi ni dhana ambayo inatakiwa ipuuzwee ama ieendelee kutolewa elimu na ufafanuzi kwa wananchi ili iweze kueleweka.
 
Kimsingi mtu yeyote unapoanzisha biashara ni lazma kufuata utaratibu amabo unajulikana kama kukata leseni,kuwa na mashine ya EFD na sheria nyingine za nchi ikiwemo miongozo ya TRA na halimashauri husika.(local government)
 
Kwa Taifa letu TRA wana fanya kazi nzuri na kubwa ya kukusanya mapato ya serikali wakisisitiza kutoa elimu kwa mlipa kodi marakwamara kupitia vyombo vya habari na matangazo yaliyo wekwa katika maeeneo mbalimbali ikiwemo masokoni ,pia katika matangazo hayo yana sisitiza kuomba stakabadhi ya malipo baada ya kununua bidhaa hivyo kila mmoja wetu ana wajibu wakufanya katika kusaidia swala la usanyaji kodi kwa kuhakikisha tunaomba stakabadhi ya malipo pindi tununuapo bidhaa.kwa ufupi wote tuna wajibu wa pamoja yaani collective responsibility ya kuunga mkono serikali katika dhima nzima ukusanyaji kodi.
 
BANGO LA TRA SOKO KUU ARUSHA
 
Jambo la kwanza ni matumizi mazuri ya EFD hii itarahisha kazi kwa mamlaka kufanaya makadirio ya kodi kwa usahihi bila manung’uniko.
Pili kutumia wataalam (accountants) katika kufunga mahesabu ya mauzo hii itasaidia mamlaka kufanya makadirio ya kodi kwa usahihi na pia biashara kustawii.
 
Tatu. Hulka ya uzalendo na upendo kwa Taifa .kimsingi kodi ndio msingi mkubwa wa maeendeleo ya taifa letu hivyo kila mmoja wetu aone haja ya kulipa kodi kwakuwa maeendeleo ya nchi yana hitaji kodi na walipa kodi ni sisi wanannchi. “Tulipe kodi kwa maeendeleo ya taifa letu”
Mfano hivi karibuni tumeshuhudia mgomo wa wafanya biashara wakifunga biashara kwa kigezo cha kuhitaji punguzo la baadhi ya kodi hususan VAT na ushuru wa huduma(service levy) hii changamoto bilashaka ni uzalendo hafififu miongoni mwetu hivyo somo la uzalendo lieendelee kufundishwaa ili kuepusha hizi changamoto.
WAJIBU WA SERIKALI NA MAMLAKA ZA UKUSANYAJI KODI.
 
Moja kati ya kazi kubwa ya serikali ni kukusanya kodi kutoka katika vyanzo vyake.
 
Na hili limekuwa likiwezekana kwa serikali kueendelea kuweka mazingira rafiki kwa walipa kodi kwa upande wa watumishi wa umma wamepandishiwa mishara na stahiki zao hivyo hata makato ya kaodi yamekuwa himilivu.
 
Pia kwa upande wawafanya bishara serikali imeendelea jenga masoko ya kisasa mfano maboresho ya soko la kimataifa la kariakoo Dsm hii yote ni kuweka mazingira rafiki ya biashara.
 
Pia mifumo ya kidigiti yaani TAUS,mfumo unao mwezesha mlipa kodi kujipatia namba ya malipo mwenyewe (control number) hii imesaidia kupunguza msongamano usio wa lazma katika ofisi za srikali ili kupata huduma.
 
Mbali na hayo serikali inazingatia na kuhakikisha mambo yafuatayo.
 
Ulinzi na usalama wa nchi. Kwa hili tumeshudia taifa letu likiwa na usalama wa kutosha hali inayo shajihisha biashara na shughuri za usafirishaji. Mfano Soko kuu la majengo Dodoma na soko la machinga Dodoma yakifanya kazi masaa 24. Pia usafirishaji nao ni masaa 24. Hii imepelekea mzunguko wa fedha kuwa mkubwa na hatimaye wigo wa mapato ya serikali kuongezeka.kwa hili swala la usalama hatuna budi Kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri ya kuhakikisha nchi yetu inakuwa salama kiukweli Tanzania ni PEPO YA AMANI
 
Pia vibali vya uwekezaji na kanda huru za kiuchumi(EPZD) na maboresho makubwa ya malango ya mapato ikiwemo bandari na ukuzaji wa sekta mtambuka za kiuchumi hususani utalii,kilimo madini na uvuvi.kwa hili serikali imepiga hatua kubwa kwa kupunguza urasimu wa usajiri wa makampuni na utoaji leseni kupitia mfumo wa kieletroniki kupitia BRELA.Hii nayo ime dhihirisha kuwa serikali iko mathubuti katika kushajihisha mapato.
 
Elimu ya kodi hili jambo serikali inafanya kazi kupitia vyombo vya habari tumeshudia mara kadhaa mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi wa TRA ndg KAYOMBO akitoa elimu juu ya ulipaji kodi.
 
Pia katika somo la urai tuna jifunza kuwa wajibu wa mwanachi mi kulipa kodi kwa maeendeleo ya Taifa hivyo swla la ulipaji kodi halina mbadala Zaidi ya kulipa kwa mujibu wa sharia za nchi.
 
 
TIJA YA KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA
 
Kuna huu msemo una sema “mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe”
 
Sisi wa Tanzania tumeona mafanikio makubwa ambayo nimatokeo ya ulipaji kodi kwa Taifa letu.
 
1. Kujitegemea(self reliant) kama taifa tumeanza kuona taifa limeanza kujitegemea katika bajet kwa mapato yake ya ndani kwa 70% hii ni bila udhamini wa wadau na washirika wa maeendeleo japo bado tuna wahitaji ila mwelekeo mi mzuri wa kujitegemea.Hili ni jambo la kupongezwa na kila m Tanania hasa wale wenye fikra za kizalendo.
 
2. Huduma za kijamii. Hapa taifa limeendelea kutoanhuduma za jamii kwa kutumia mapato ya ndani.mfano kutoa elimu bila malipo kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha sita,pia kulipia elimu juu ,huduma bure za afya huduma ya mama wajawazito na mototo,wazee na makundi maalum.huu niuthibitisho tosha kuwa kodi inayo lipwaa intija kwa taifa letu hivyo wananchi tulipe kodi kwa maeendeleo ya nchi yetu.
 
3. Miradi ya kimkakati. Tumeshuhudia miradi ya mingi ya kimkakati ikiwemo miradi ya maji na miundombinu ikiwemo daraja la mto wami,ujenzi wa masoko ya kisasa mfano soko la Job ndugai Dodoma,soko kuu la njombe ni kwa uchache.haya yote ni matokeo ya kodi ya ndani hivyo wananchi hatuna budi ya kuunga mkono serikali kwa kulipa kodi tulipeni kodi kwa maeendeleo ya Taifa letu.
Nahitimisha kwa kusema kuwa haya mafanikio ni kutokana Baraka ambazo mwenyezi MUNGU ame ikirimia nchi yetu kupata viongozi wa zalendo,mahiri na mathubuti tangu tupate uhuru 1961 mpaka sasa.
 
Hivyo kwa awamu hii ya sita inayoongozwa na MH.DK. SAMIA SULUHU HASSAN, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekit wa CCM Taifa amakuwa nembo na taswira nzuri ya kushajihisha ulipaji wa kodi kwa kuongeza wigo wa mzunguko wa fedha .mfano kupitia filamu ya The Royal tour ambayo imeleta ongezeko la watalii wengi na miongoni mwao wawekezaji hivyo Tuna mpongeza Mh,Rais wetu.
 
Pia Diplomasia ya uchumi na mikutano ya kimataifa hii inavitia wawekezaji ,tekinolojia na hata fedha za kigeni kwa wageni wengi kuja nnchini ina pelekea kuwa na mzunguko mkubwa wa fedha hatimaye kodi inaongezeka.
 
Hivyo Watanzania hatuna budi ya kueendeea kuwa wa zalendo wa kweli kwa kulipa kodi na sio kuwa na mlengo hasi juu ya kodi. Mfano Ushuru wa huduma ni msingi mkubwa wa makusanyo katika halimashauri zetu hivyo mawazo ya kutaka ufutwe ni sawa na kuziaangamiza Halimashauri zetu jambo ambalo halipaswi hata kufikiriwa cha msingi ni kuendelea kuelimishana kadri iwezekanavyo kuhusu Mantiki,tija na ulazima wa kulipa kodi.
Makala hii imeandaliwa na John Francis Haule (Mkuu wa Soko Kuu la Arusha). Anapatikana kwa simu 0765717987 au 0711993907 Barua pepe haulej46@yahoo.com

 

About the author

Alex Sonna