Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Photos

WANANCHI WA SIMIYU WATAKIWA KUTUMIA ELIMU YA FEDHA KUKUZA UCHUMI

Written by mzalendo
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi wa Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu wakipata elimu ya fedha kwa njia ya filamu yenye maudhui kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kupanga  bajeti na kuitekeleza, umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha (Vikoba), utunzaji wa fedha binafsi, umuhimu wa kushirikisha familia na watu wa karibu kwenye masuala ya fedha na uwekezaji, umuhimu wa kukata bima, filamu hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha ili kusambaza elimu ya fedha kwa njia rahisi ya burudani ili kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa masuala ya fedha kwa njia rahisi.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akizungumza kwa niaba ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha (hawapo pichani), kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), baada ya wataalamu hao kufika ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Kenani Kihongosi (kushoto), kabla ya kuelekea wilayani Itilima Mkoani Simiyu kutoa elimu ya fedha kwa wananchi.
Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Kenani Kihongosi, nyenzo ya kufundishia elimu ya fedha, mara baada ya kufika ofisini kwake kabla ya kelekea Wilayani Itilima Mkoani Simiyu kutoa elimu ya fedha kwa wajasiriamali na wananchi kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kuweka akiba, uwekezaji sehemu sahihi, umuhimu wa bima, na namna bora ya kuandaa maisha ya kustaafu na ya uzeeni kwa ujumla.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Bw. Kenani Kihongosi (watatu kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu Bi. Prisca Kayombo (wa tatu kushoto) pamoja na Timu ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha, wakiongozwa na Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Bi. Elizabeth Mnzava (wa pili kulia), Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni (wa kwanza kulia), Mratibu wa Huduma Ndogo za Fedha Mkoa wa Simiyu, Bw. Mustapha Ayubu (wa kwanza kushoto) na Afisa mwingine kutoka Wizara ya Fedha Bi. Glory Kenedy (wapili kushoto), baada ya Timu hiyo kumtembelea Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Kenani Kihongosi, Ofisini kwake kabla ya kuelekea Wilayani Itilima kutoa elimu ya fedha kwa wananchi. 
Picha za matukio mbali mbali ya mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, elimu hiyo ya fedha ilianza kutolewa maeneo ya mijini kupitia maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha kwa Mikoa ya Dar Es Salaam, Mwanza na Arusha, ambapo kwa sasa programu hiyo imejikita kuwafikia wananchi wote kwa lengo la kuwaongezea uelewa wa masuala ya Fedha ili waweze kufanya maamuzi sahihi katika mahitaji na matumizi ya huduma za fedha.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha-Simiyu)
Na Asia Singano, WF, Simiyu.
 
Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kuendelea kujitokeza kwa wingi kupata elimu ya fedha kutoka kwa wataalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na kutumia elimu  watakayoipata kukuza uchumi wa Mkoa huo na Taifa kwa ujumla.
 
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Kenani Kihongosi, Ofisini kwake, alipotembelewa na Timu ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kabla ya wataalamu hao kuelekea Wilayani Itilima Mkoani Simiyu kutoa elimu ya fedha kwa wafanyabiashara, wajasiriamali na wananchi wa Wilaya hiyo.
 
‘’Niwasisitize na kuwaomba wananchi wetu wapokee mpango huu kwa sababau ni mpango utakaowasaidia wao kujua matumizi sahihi ya fedha zao na namna bora ya kuchukua, kutumia mikopo na kufahamu mikataba namna gani mikopo wanayochukua inaweza kuwanufaisha katika maisha yao” Alisema Bw. Kihongosi.
 
Aliongeza kuwa kauli mbiu ya kampeni hiyo isemayo ‘’Elimu ya Fedha ni Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi’’ ni muafaka kwa kuwa  maendeleo ya kiuchumi lazima yatokane na mipango thabiti na mikakati bora ya elimu ya matumizi sahihi ya fedha hasa kwa wananchi.
 
Bw. Kihongosi, aliipongeza Wizara ya Fedha kwa kuandaa mpango wa maendeleo ya kiuchumi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya fedha nchi nzima  na kuufikia Mkoa wake kutokana na umuhimu wa elimu hiyo katika kukuza uchumi wa nchi.
 
‘’Niwapongeze, Wizara ya Fedha kwa kuja na mpango huu mkakati mzuri kabisa wa kuelimisha wananchi wetu kwa sababu ni imani yetu wananchi wakipata uelewa kuhusu masuala ya kifedha watafanya mambo mazuri yatayowasaidia kuleta tija kiuchumi’’ Alisema Bw. kihongosi
 
Akitoa ufafanuzi kuhusu sifa za kukopa baada ya mmoja ya washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha katika Halmashauri ya Wilaya ya Itilima Bw. Alex Elias kutaka kufahamu kuhusu suala la kukosa mkopo kutokana na umri kuwa mkubwa, Afisa Mkuu Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, alisema suala la mikopo ni haki ya watu wote wenye uwezo wa kulipa mikopo hiyo isipokuwa watoto.
 
‘’ Kuna taasisi moja inayoangalia taarifa za watu wote wanaokopa katika taasisi zote Tanzania, inaitwa Credit Info, hawa watu kila  mtoa huduma ameambiwa apeleke majina ya watu wake ambao wamekopa sasa jina lako likipelekwa kule wanaona kwamba kumbe fulani amekopa mahali pengi, je anakopesheka tena? lakini ili mtu aweze kukopa ni yeye mwenyewe kuwa na uwezo wa kuingiza kiasi gani kila mwezi” alifafanua Bi. Kauzeni.
 
Naye Afisa Usimamizi wa Fedha, kutoka Wizara ya Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Bi. Elizabeth Mnzava, alisema Timu hiyo ya wataalamu wa kutoa elimu ya fedha  kutoka Wizara ya Fedha inaendelea kutoa elimu hiyo katika Wilaya za Mkoa wa Simiyu ikiwemo Busega  na Meatu ambapo baada ya kukamilisha Wilaya hizo wataalamu hao wataelekea Mkoani Shinyanga kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa Mkoa wa huo.

About the author

mzalendo